Ni kipi cha maana alichokifanya Rais Samia tokea apewe uongozi?

Tuzungumze ukweli tuache unafiki na ushabiki maandazi

Huyu mama tokea amepewa nchi kafanya kipi cha maana cha kumgusa mwananchi wa chini?

Hapa sizungumzii miradi ya Magufuli, yeye Samia toka ameingia ni mradi upi wa maana kafanya wa kuwagusa wananchi?

Ni kipi cha maana kafanya kugusa wananchi wa chini hadi sasa zaidi ya malalamiko ya wananchi na kuvuruga kila kitu? Kila kitu alichokikuta aliruhusu kivurugwe na kila kitu kimeenda mrama.
Investment aliyofanya kwenye sekta ya afya haina mfano
 
Mama amejitahidi sana.
1.kwenye elimu :kajenga madarasa mengi sana na yakisasa ,Tangu tupate uhuru haijawahi kutokea awamu yoyote ile kujenga vumba vya madara vingi sana na vyakisasa,

Waalimu wamepandavmadaraja yao yaliokua yamesimama kwa miaka saba,anastahili kupongezwa sana

Amejenga shule nyingi mpya ili
kuhakikisha watoto wanajisomea vizuri bila shida yoyote.

Elimu bure kuanzia chekechea hadi form six ,ikumbukwe elimu bure ilianza 2016 hadi kidato cha nne ,Ila mama alipoingia tu akaona form fove na form six nao wasome bure .
2, Ajira: tumeona nakushughudia mama akitangaza ajira kila mwaka kwa vijana waliomaliza vyuo vyakati na wale wa shahada.
3. Afya: Amejenga hospitali na vituo vya afya vingi sana leo hii huduma za afya zimesogezwa karibu na jamii tofauti na zamani ambapo vituo vingi vya afya vipo karib na jamii.
4 kilimo : leo hii mkulima akilima ana uhakika wakuuza mazao yake kwa bei nzuri ,mfano zao lambazi leo hii bei imeimarika sana ,mchele ndo usiseme ukilima huwazi soko.
5 Mahusiano baina ya Tanzania na mataifa ya nnje yapo vizuri sana ,kwaufupi mama kaifungua nchi.
6 Miradi yote iliyoachwa na mtanguli zi wake dr magufuli inaendelea kwa kasi ile ile bila kusimama ,
 
Mimi kama mwalimu wa shule ya msingi mpigamiti mambo ya yaana aliyoyafanya samia toka aingie madarakani ni:-

Moja kuimarika kwa utawara wa sheria,mambo ya kujimwambafai kwa wakuu wa wilaya,mikoa,mawaziri na viongozi wengine wa serikali yamepungua/ kabisa na pengine kukoma,kipindi cha nyuma tulishuhudia wakuu wa wilaya,mawaziri nk.wakicharaza fimbo watu bila kukemewa

Mbili, kuimarika kwa mahusiano toka kwa jumuia za kimataifa,hili halihitaji tochi kuliona.

Tatu,Kuboreka kwa huduma za jamii,mfano elimu na afya,pia sasa nashuhudia vijiji vingi vikiunganishwa na mfumo wa maji safi na salama ili kumsaidia mwananchi kuokoa muda na fedha katika upatikanaji wa maji.

Nne,mimi kama mwalimu niliyetumikia daraja langu kwa miaka saba bila kupanda daraja,mama samia alipoingiia madarakani ndani ya miezi miwili nilipanda ngazi yangu ya mshahara,mama kafanya mengi kuyataja humu itambidi mtu atumie miaka mitano kuyaelezea mambo taliyofanyika ndani ya miaka miwili.
Shule ya msingi mpiga miti,

Sawa mkuu,,

Hongera mwalimu wa mpiga miti.
 
Mama amejitahidi sana.
1.kwenye elimu :kajenga madarasa mengi sana na yakisasa ,Tangu tupate uhuru haijawahi kutokea awamu yoyote ile kujenga vumba vya madara vingi sana na vyakisasa,

Waalimu wamepandavmadaraja yao yaliokua yamesimama kwa miaka saba,anastahili kupongezwa sana

Amejenga shule nyingi mpya ili
kuhakikisha watoto wanajisomea vizuri bila shida yoyote.

Elimu bure kuanzia chekechea hadi form six ,ikumbukwe elimu bure ilianza 2016 hadi kidato cha nne ,Ila mama alipoingia tu akaona form fove na form six nao wasome bure .
2, Ajira: tumeona nakushughudia mama akitangaza ajira kila mwaka kwa vijana waliomaliza vyuo vyakati na wale wa shahada.
3. Afya: Amejenga hospitali na vituo vya afya vingi sana leo hii huduma za afya zimesogezwa karibu na jamii tofauti na zamani ambapo vituo vingi vya afya vipo karib na jamii.
4 kilimo : leo hii mkulima akilima ana uhakika wakuuza mazao yake kwa bei nzuri ,mfano zao lambazi leo hii bei imeimarika sana ,mchele ndo usiseme ukilima huwazi soko.
5 Mahusiano baina ya Tanzania na mataifa ya nnje yapo vizuri sana ,kwaufupi mama kaifungua nchi.
6 Miradi yote iliyoachwa na mtanguli zi wake dr magufuli inaendelea kwa kasi ile ile bila kusimama ,
Wanaelewa sana ila Huwa wanajitoa ufahamu 😀😀

Msipowaelewa mtapata shida sana.

Ukisema uweke orodha ya mambo aliyofanya Samia Kwa miaka 3 ni mengi kuliko wakati wowote.

Awamu zilizopita zilizidi Kwa propaganda wakati hata waliyoita miradi hakuna walichokamilisha.
 
Tuzungumze ukweli tuache unafiki na ushabiki maandazi

Huyu mama tokea amepewa nchi kafanya kipi cha maana cha kumgusa mwananchi wa chini?

Hapa sizungumzii miradi ya Magufuli, yeye Samia toka ameingia ni mradi upi wa maana kafanya wa kuwagusa wananchi?

Ni kipi cha maana kafanya kugusa wananchi wa chini hadi sasa zaidi ya malalamiko ya wananchi na kuvuruga kila kitu? Kila kitu alichokikuta aliruhusu kivurugwe na kila kitu kimeenda mrama.
Hakuna cha maana hisipokuwa nchi imemushinda. Kwa jinsi tunavyoenda Ikitokea amepata miaka mitano mingine atakuwa ameuzika rasmi muungano, na chuki za udini na Uzanzibar ufa utakuwa mkubwa.
 
Kuwapa maisha mazuri matajiri na kuwatelekeza watu wa kati na wa chini.
Upendeleo wa kuijenga Zanzibar zaidi kuliko bara.
Jubinafsisha kibabe bandari yetu kwa wagaza wenzie.
Kuonyesha kuwa wanawake hawastahili kabisa kupewa madaraka makubwa.
Kuondoa sifa nzuri za mama zetu wapenda watoto.
Ndie kiongozi ambao ufisadi uliokithiri unafanyika na haukemewi.
 
Tuzungumze ukweli tuache unafiki na ushabiki maandazi

Huyu mama tokea amepewa nchi kafanya kipi cha maana cha kumgusa mwananchi wa chini?

Hapa sizungumzii miradi ya Magufuli, yeye Samia toka ameingia ni mradi upi wa maana kafanya wa kuwagusa wananchi?

Ni kipi cha maana kafanya kugusa wananchi wa chini hadi sasa zaidi ya malalamiko ya wananchi na kuvuruga kila kitu? Kila kitu alichokikuta aliruhusu kivurugwe na kila kitu kimeenda mrama.
Kuzulula
 
Wasiojulikana wamepungua tuna amani aisee.
 
Back
Top Bottom