kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,785
- 20,164
Tuzungumze ukweli tuache unafiki na ushabiki maandazi
Huyu mama tokea amepewa nchi kafanya kipi cha maana cha kumgusa mwananchi wa chini?
Hapa sizungumzii miradi ya Magufuli, yeye Samia toka ameingia ni mradi upi wa maana kafanya wa kuwagusa wananchi?
Ni kipi cha maana kafanya kugusa wananchi wa chini hadi sasa zaidi ya malalamiko ya wananchi na kuvuruga kila kitu? Kila kitu alichokikuta aliruhusu kivurugwe na kila kitu kimeenda mrama.