Ni ipi hasa ilikuwa sababu ya kumsimamisha Edward Lowassa kama mgombea wa Urais CHADEMA 2015? Lipi lilikuwa kosa la Dkt. Slaa?

Kwa Lowassa sikuwahi kumuunga mkono , Mbowe alichemka hapo huyu Lowassa kwangu ni fisadi mpaka kesho.

Nchi ilikuwa inalipa $137,000 kila siku kwa kampuni hewa huku document za kampuni hewa akizihodhi zionekane ni halisi.
Mbowe sio Fisadi?
 
Mpaka Lowassa anajiuzulu hata senti moja haikuwa imelipwa!! Sasa aliiba nini hapo?
 
Back
Top Bottom