swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,894
hahahaha unaniacha hoi hilo dude la ccm utafunga mkanda wapi?hahahaha je wanavaa madela?Kwenye V8 helmet la nini? Labda kufunga mkanda
Ni jukwaa la picha
Hata mimi sielewi wanatumia sayansi gani.sasa huyu akipandwa na mtu si anavunjika? au wanapungua uzito hao wasafiri?