Ni hatari sana hadi leo Simba hawajajua tatizo liko wapi mwaka wa 3 huu utopolo wanabeba ubingwa

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
445
1,768
Benchika hafai aondoke, saido anacheza kama bibi harusi, Mo Dewji anatuumiza hajaweka hela, Mangungu sio mtu wa mpira, Try Again hana uwezo, Barbra arudishwe aliiweza Simba, Kaduguda mnafiki, Magori msaliti, Hans Pope rest in peace, Chama hachezi vizuri gemu na yanga. GSM anadhamini vilabu 7, tumemaliza kila kitu.

Yaan kila mwaka habari ndio hizi hizi, msimu ujao tena hali itakuwa hiv hiv na ujinga wetu.
 
Benchika hafai aondoke, saido anacheza kama bibi harusi, Mo Dewji anatuumiza hajaweka hela, Mangungu sio mtu wa mpira, Try Again hana uwezo, Barbra arudishwe aliiweza Simba, Kaduguda mnafiki, Magori msaliti, Hans Pope rest in peace, Chama hachezi vzr gemu na yanga.GSM anadhamini vilabu 7, tumemaliza kila kitu.

Yaan kila mwaka habari ndio hizi hizi, msimu ujao tena hali itakuwa hiv hiv na ujinga wetu.
Tatizo linajulikana.Ni vile tu nguvu ya pesa na siasa inatimika ili kutengeneza pattern ya ubingwa kwa hizi timu.

Hii nchi ni ngumu sana
 
Benchika hafai aondoke, saido anacheza kama bibi harusi, Mo Dewji anatuumiza hajaweka hela, Mangungu sio mtu wa mpira, Try Again hana uwezo, Barbra arudishwe aliiweza Simba, Kaduguda mnafiki, Magori msaliti, Hans Pope rest in peace, Chama hachezi vizuri gemu na yanga. GSM anadhamini vilabu 7, tumemaliza kila kitu.

Yaan kila mwaka habari ndio hizi hizi, msimu ujao tena hali itakuwa hiv hiv na ujinga wetu.
Subiri UTO achukue mara4 kama simba.
 
Tatizo linajulikana.Ni vile tu nguvu ya pesa na siasa inatimika ili kutengeneza pattern ya ubingwa kwa hizi timu.

Hii nchi ni ngumu sana
Kwahiyo kwa akili yako kuna mtu anaingilia kumsajili Jobe na Fredi ili kutengeneza pattern Yanga awe bingwa?

Hebu try to grow up man

Na hii ndio shida ya mashabiki wa Simba. Hamtaki kabisa kukubali timu yenu ni mbovu na Timu ya Yanga ni nzuri this time. Mnaikwepa sana hii misamiati miwili matokeo yake mnatafuta visababu nje ya ukweli muda wote!

Hebu pevukeni. Kubalini mna timu mbovu kisha mfanye yanayotakiwa. Stop this nonsense za mara pattern mara ujinga gani sijui.
 
Tatizo ni mo na uwekezaji wake wa kimagumashi Ila tatizo kubwa ni wanachama wa Simba hawana uchungu na timu na kushindwa kuhoji Mambo muhimu.
Pesa inatumika kuzima kelele za wanachama
Mashabiki wengi baada ya ile mechi kuisha walitema nyongo sana kidogo kwenye hivi vimedia vidogo wamejaribu kurusha mahojiano ya mashabiki tofauti na media kubwa zimazima kabisa hizo kelele tuone hakuna changamoto yoyte
Huku viongozi wakiwa kimya wasitoa kauli yoyte je hiki kipigo kimewagusa vipi je kuna kuwajibika? Zaidi naona ahmed ally ameachiwa kila kitu sasa apambane kusafisha hali ya hewa wakati tatzo ni viongozi na muwekezaji kushindwa kufikia malengo na mategemeo ya wapenzi na wanachama wa simba
 
Kwahiyo kwa akili yako kuna mtu anaingilia kumsajili Jobe na Fredi ili kutengeneza pattern Yanga awe bingwa?

Hebu try to grow up man

Na hii ndio shida ya mashabiki wa Simba. Hamtaki kabisa kukubali timu yenu ni mbovu na Timu ya Yanga ni nzuri this time. Mnaikwepa sana hii misamiati miwili matokeo yake mnatafuta visababu nje ya ukweli muda wote!

Hebu pevukeni. Kubalini mna timu mbovu kisha mfanye yanayotakiwa. Stop this nonsense za mara pattern mara ujinga gani sijui.
Waache waendelee hivyo hivyo watakuja kushutuka 2030
 
Benchika hafai aondoke, saido anacheza kama bibi harusi, Mo Dewji anatuumiza hajaweka hela, Mangungu sio mtu wa mpira, Try Again hana uwezo, Barbra arudishwe aliiweza Simba, Kaduguda mnafiki, Magori msaliti, Hans Pope rest in peace, Chama hachezi vizuri gemu na yanga. GSM anadhamini vilabu 7, tumemaliza kila kitu.

Yaan kila mwaka habari ndio hizi hizi, msimu ujao tena hali itakuwa hiv hiv na ujinga wetu.
Tatizo wewe unawasikiliza wajnga, sorry !wapumbavu wenzako... Wanaojua Mpira wa Tz na Siasa za Simba na Yañga tunajua kinachoeendelea.
 
Benchika hafai aondoke, saido anacheza kama bibi harusi, Mo Dewji anatuumiza hajaweka hela, Mangungu sio mtu wa mpira, Try Again hana uwezo, Barbra arudishwe aliiweza Simba, Kaduguda mnafiki, Magori msaliti, Hans Pope rest in peace, Chama hachezi vizuri gemu na yanga. GSM anadhamini vilabu 7, tumemaliza kila kitu.

Yaan kila mwaka habari ndio hizi hizi, msimu ujao tena hali itakuwa hiv hiv na ujinga wetu.
Simba haina shida yoyote, tatizo ni wewe shabiki andazi.
 
Back
Top Bottom