Ulikuwa hiyo mitaa kama houseboy?
we sema tu mshua wako ndio alikuwa anamuanulia dadako vyupi na kumpelekea roomKimaadili hii imekaaje Wandugu? Hii kitu nimekuwa nikiiona sana maeneo ya Masaki, Oysterbay, Mikocheni, Upanga, Kijitonyama na Mbezi Beach ambapo kumekuwa na tabia ya Wazazi wa Kiume ( akina Baba ) kuwaanulia Watoto zao wa Kike ( Mabinti ) chupi zao ( nguo zao za ndani / kufuli ) na kuzishika kabisa mkononi kama vile wamebeba dhahabu na kuwapelekea chumbani kwao au kuwapa kama wapo nao karibu.
Je ni busara kweli kwa mila za Kiafrika kwa Baba kumuanulia bintiye chupi? Halafu ni kwa nini wenye hizi tabia ni Wazazi tu wa hayo maeneo tajwa lakini kwa Wazazi wa Kiume ( akina Baba ) wa maeneo ya Tandale, Mwananyamala, Manzese, Tandika, Yombo Vituka na Vingunguti bila kuisahau Buguruni wao Bintiye aache chupi kambani hata mwezi hathubutu kumuanulia na sana sana anaweza hata akaichukua na kuitupilia mbali au hata akakuambia uianue pale kambani huku kibao cha nguvu kikikufuata Shavuni. Kifupi Washua hawa ( akina Baba wa haya maeneo hawana muda na hawapendi shobo! )
Ningependa tu nifahamu nini kinapelekea hizi hali mbili za akina Baba wa Kishuani na wa Kisela hasa katika suala zima la kuwaanulia na kutowaanulia Mabinti zao chupi zao zilizotukuka kambani baada ya kufuliwa.
Karibu mtiririke wadau mnaoanua na kuanuliwa chupi.
Hivi kapotelea wapi huyu dadaNdioooooooooo....but inategemea na umri. sass mfano Masogange mdingi wake eti amuanulie pichu daaah!!!! hatareeeeeee......!!! wajameni
Hahahahaha dah jf bhanaKuwanunulia ni swala jingine, mada inasemea kuwaanulia kwenye kamba.
Binafsi sioni shida saana labd awe na tabia mbaya ainuse maana wababa wa dar na wenyewe hawana dogo
Binadamu tunacomplicate tu mambo. Ukiifikiria sana chupi wala haina tatizo lolote. Ni nguo tu kama nguo nyingine!
swali zuri sana,Wanaumri gani hao mabinti zao....!??