Ni fedheha kuwa Mtumishi wa umma ngazi ya chini.

Sogea pande za ziwa Victoria sogea sogea kw ndani y ziwa ukiw umefunga macho usijali kina songa mbele kadiri uwezavyo maji yakifika kima cha shingo cross kulia atua atua 15 ukirudi utakuw umepona kabisa
 
Eti mpaka wakina mangi wanakupandishia bei yavitu!!!! Nakodi yanyumba naumeme unaotoka tanesco wanakupandishia mh
 
Story yako inataka ifanane na kile kitabu cha zamani kinaitwa AN ENEMY OF THE PEOPLE,aisee kazi unayo ndg mtumishi.
Siku zote umtumainie Mungu kwa uchaji na uaminifu, na uamini hakuna hali ya kudumu na hayo yote yatakwisha.
 
Mimi nimejionea haya vizuri sana na yamefanyika kwangu na kwa wengine.

Unapokuwa Mtumishi wa umma yaani Mtumishi wa SERIKALI ngazi ya chini(Mtumwa) na una uwezo mkubwa kiakili au una karama kubwa kuliko waliopata vyeo kwa kujuana, yaani watapambana na wewe kwa kila njia hata kukuua. Lengo lao ni wivu.

Na wakiona wameshindwa wanatafuta sababu yoyote ya kukuhamisha kituo cha kazi. Wengi wanapelekwa maeneo ambayo hautaonekana kabisa ili usije ama kupewa cheo au uwezo wako watu wasiuone na waseme wao ndio wamefanya.

Nawaambia haya, Mimi Jiji la Mwanza nafanyiwa unyama ambao ni hatari. Yaani wanajifanya kama hawaoni huku wanaratibu maovu. Kwanza walipandikiza chuki kwa wananchi kuwa Mimi ni Mwehu, haikutosha wakanikana nakuzusha Mimi sio Mtumishi ni mzururaji tu. Na kila MTAA nao hamia napandikiziwa chuki, yaani mpaka inafikia watu wa maduka wanaambiwa wanipandishie vitu bei.

Acha hiyo hata nikiingia mtaani kubadilishana mawazo na watu, watu wanaambiwa waondoke yaani wasinipe ushirikiano wowote. OK poa.

Ikafika hatua nafundisha kwa kujitoa lakini taarifa zinazotolewa Mimi huwa napigaga soga tu kazini Mara hata kazini hajagi.

Zaidi kila NYUMBA nayopanga wanaagiza nipandishiwe bei ya umeme au maji au kodi ya NYUMBA au vyovyote vile.

Cha kushangaza hata hao wanaokuwa Watumishi wenzako wa level ya chini wanafurahia hiyo hali. Siku moja nilimsikia Mtumishi mwenzangu akisema "huyu Kisandu tungejuaga tunge mzushia mwizi ili achomwe moto, yaani tunge kula mashavu" sasa hebu ona hata watumwa nao hawajielewi.

Unaambiwa Mwanza nzima INA pambana na Deo Kisandu kila kona huku wakitoa taarifa za uongo ili mradi tu. Mambo kama haya hata miaka ya 2007 nilipokuwa Mtumishi Nzega ili kuwa ni hivi hivi.

Siwezi kuichukia Mwanza ila na wachukia wanaokubali kushiriki udhalilishaji kwa watumishi wa umma.

Siku ingine nikamsikia bosi wangu mmoja akisema Kisandu akitushinda tutamwambia sisi tulikuwa hatujui kinachoendelea. Huwezi amini katika mateso yangu mpaka magogoni wapo NYUMBA ya mchezo.

Mimi Deogratius Kisandu, nasema wapumbavu husema "Mimi na mwachia Mungu tu atanijibia" Ila Mimi mjinga nasema " siwezi kumwachia Mungu mzigo ili hali amenipa mamlaka ya kufunga na kufungua, napambanana nao mpaka tone la mwisho by the way I can't die"

Inafikia hatua wanakuambia siuache kazi tu, kwani lazima uwe Mtumishi. Hii ni gia ambayo ukiisikiliza ndio njia yao ya kukuua.

Sasa wewe ni bosi umepewa cheo ama cha kiwilaya au kimkoa au kitaifa, ndio uniharibie taratibu zangu za kimaisha kisa Kacheo kako, kisa na wazidi ubunifu ndio mnifanyie udhalilishaji Mtumishi wenu? Maisha hayaendi hivyo. Unaambiwa michezo hii mpaka wanasiasa na viongozi wa dini wapo NYUMBA ya uchafu huu.

Naunapotoa malalamiko wanakuwa wakali, eti tusiwakosoe. Nisikukosoe wakati unaagiza nifanyiwe udhalilishaji."SHUTUP!"

MWISHO WA UBAYA AIBU.

Deogratius Kisandu.
Wewe si intelligencia unawaribia wenzako
 
Mwl Kisandu somo lako la Leo gumu...haiwezekani kila mtaa uchukiwe.,
hata na Mangi wa dukani??!
na Mchungaji pia akuchukie..!
Umesoma Harvard.!
(Mwl uje na majibu,umetoroka kipindi )
 
Wewe una shida kubwa ya kisaiokolojia. Uko mjini au kijijini? Unayoongea mbona kama vile town hayawezekaniki? Au umehamisha tabia zote za kijijini kwenu na ukazileta town.?
 
Mimi nimejionea haya vizuri sana na yamefanyika kwangu na kwa wengine.

Unapokuwa Mtumishi wa umma yaani Mtumishi wa SERIKALI ngazi ya chini(Mtumwa) na una uwezo mkubwa kiakili au una karama kubwa kuliko waliopata vyeo kwa kujuana, yaani watapambana na wewe kwa kila njia hata kukuua. Lengo lao ni wivu.

Na wakiona wameshindwa wanatafuta sababu yoyote ya kukuhamisha kituo cha kazi. Wengi wanapelekwa maeneo ambayo hautaonekana kabisa ili usije ama kupewa cheo au uwezo wako watu wasiuone na waseme wao ndio wamefanya.

Nawaambia haya, Mimi Jiji la Mwanza nafanyiwa unyama ambao ni hatari. Yaani wanajifanya kama hawaoni huku wanaratibu maovu. Kwanza walipandikiza chuki kwa wananchi kuwa Mimi ni Mwehu, haikutosha wakanikana nakuzusha Mimi sio Mtumishi ni mzururaji tu. Na kila MTAA nao hamia napandikiziwa chuki, yaani mpaka inafikia watu wa maduka wanaambiwa wanipandishie vitu bei.

Acha hiyo hata nikiingia mtaani kubadilishana mawazo na watu, watu wanaambiwa waondoke yaani wasinipe ushirikiano wowote. OK poa.

Ikafika hatua nafundisha kwa kujitoa lakini taarifa zinazotolewa Mimi huwa napigaga soga tu kazini Mara hata kazini hajagi.

Zaidi kila NYUMBA nayopanga wanaagiza nipandishiwe bei ya umeme au maji au kodi ya NYUMBA au vyovyote vile.

Cha kushangaza hata hao wanaokuwa Watumishi wenzako wa level ya chini wanafurahia hiyo hali. Siku moja nilimsikia Mtumishi mwenzangu akisema "huyu Kisandu tungejuaga tunge mzushia mwizi ili achomwe moto, yaani tunge kula mashavu" sasa hebu ona hata watumwa nao hawajielewi.

Unaambiwa Mwanza nzima INA pambana na Deo Kisandu kila kona huku wakitoa taarifa za uongo ili mradi tu. Mambo kama haya hata miaka ya 2007 nilipokuwa Mtumishi Nzega ili kuwa ni hivi hivi.

Siwezi kuichukia Mwanza ila na wachukia wanaokubali kushiriki udhalilishaji kwa watumishi wa umma.

Siku ingine nikamsikia bosi wangu mmoja akisema Kisandu akitushinda tutamwambia sisi tulikuwa hatujui kinachoendelea. Huwezi amini katika mateso yangu mpaka magogoni wapo NYUMBA ya mchezo.

Mimi Deogratius Kisandu, nasema wapumbavu husema "Mimi na mwachia Mungu tu atanijibia" Ila Mimi mjinga nasema " siwezi kumwachia Mungu mzigo ili hali amenipa mamlaka ya kufunga na kufungua, napambanana nao mpaka tone la mwisho by the way I can't die"

Inafikia hatua wanakuambia siuache kazi tu, kwani lazima uwe Mtumishi. Hii ni gia ambayo ukiisikiliza ndio njia yao ya kukuua.

Sasa wewe ni bosi umepewa cheo ama cha kiwilaya au kimkoa au kitaifa, ndio uniharibie taratibu zangu za kimaisha kisa Kacheo kako, kisa na wazidi ubunifu ndio mnifanyie udhalilishaji Mtumishi wenu? Maisha hayaendi hivyo. Unaambiwa michezo hii mpaka wanasiasa na viongozi wa dini wapo NYUMBA ya uchafu huu.

Naunapotoa malalamiko wanakuwa wakali, eti tusiwakosoe. Nisikukosoe wakati unaagiza nifanyiwe udhalilishaji."SHUTUP!"

MWISHO WA UBAYA AIBU.

Deogratius Kisandu.
Wewe ndugu nakufananisha na Mtikila, alikuwa akianza kupaza sauti kwenye jambo fulani mara ya kwanza kila mtu anamuona punguano fulani. Baada ya muda kila mtu anakubali hata wale waliompinga.
 
Na wewe ni mtumishi wa umma mwenye uwezo mkubwa kiakili. Hongera.
5769d9bb4e92c97ee2cc15d4a08485a7.jpg
 
Back
Top Bottom