mkuuwamikoa
Member
- Jun 26, 2016
- 58
- 30
Wanatumia general attachment
Hahaha, pole sana mkuuMi kwangu waliku.nya kabsa wakaacha mzigo bila kuflash. Mpaka leo huwa nawaza walitumia muda gani.
Huu uzi yawezekana unafuatiliwa kwa makini sana na majambazi, najaribu kuwaza tu kwa sauti.
Asante mkuuHahaha, pole sana mkuu
Nilikuwa nawaza kwa sauti hii mbinu ya maji...Weka maji kwenye chombo cha wazi kama bakuli au ndoo au beseni.
Hiyo dawa haifanyi kazi.
Mkuu, wezi hula makombo,hupakua wali uliolala maarufu kiporo, hula daku nk. Kiufupi ni washenzi sana. Tena hadi kukojoa mkojo kwenye vyombo, kwa ufupi hawana utuwezi walikunywa kwanza chai???
Ukilala washa feniSasa kama wanatumia hiyo dawa, nini kifanyike ili kuondoa usingizi?
Ikizidi waweza kulala hadi kufa?
Nini zuio?
Swali la jibu: Unadhani nusu-kaputi inayotumika wakati wa upasuaji mkubwa hospitalini inafanyaje kazi?Iyo klolofom inakuwa kama perfume au ya unga? Then ina control kiru gani katika mwili mpaka unalala fofofo.