SijakuelewaMfunge ndoa, nini tatizo?
Sijakuelewa
Hatujawa tayari kuishi wote mkuu si unajua ndoa haijaribiwiUmesema unataka kulea mtoto peke yako. Tatizo gani linafanya msifunge ndoa mkalea mtoto wote?
Ahsante dear,nimekupata vilivyo.Challenges ni nyingi my dear..ila kwanza kubali kudharaulika mana wengi uwa wanajua sababu ya wewe kua single mother uhuni.
Pili mtoto anapoona wenzake na baba kwa (yule mwenye ifahamu) lazima ataabza kuuliza
Tatu chochote kibaya akitenda mtoto kwa bahati mbaya utaskia sababu analelewa na mama bila baba
Nne all in all iyo ni baraka na zawadi yako mtoto ni faraja sana anaeza kukufanya usahau machungu yote
Omba tu asifanane na baba ake![]()
Tarehe 14. 02.2017 nitakuletea Zawadi... Not for Valentine's day.... But for being a mom..natarajia
Challenges ni nyingi my dear..ila kwanza kubali kudharaulika mana wengi uwa wanajua sababu ya wewe kua single mother uhuni.
Pili mtoto anapoona wenzake na baba kwa (yule mwenye ifahamu) lazima ataabza kuuliza
Tatu chochote kibaya akitenda mtoto kwa bahati mbaya utaskia sababu analelewa na mama bila baba
Nne all in all iyo ni baraka na zawadi yako mtoto ni faraja sana anaeza kukufanya usahau machungu yote
Omba tu asifanane na baba ake![]()
Asante mtani, umeikumbuka vema EDD ya illuminata rodgers. Tutaambatana kumpongeza.Tarehe 14. 02.2017 nitakuletea Zawadi... Not for Valentine's day.... But for being a mom..
CcEli79
Halafu wakiitwa watu wenye akili timamu waje mbele na wewe utakwenda!?Hatujawa tayari kuishi wote mkuu si unajua ndoa haijaribiwi
natarajia
ndugu nakusihi kama huna sababu za msingi za kutokulea na kukuza mtoto bila mwenza na usifanye hivyo ni matatizo makubwa mno kulea mtoto bila mwenza au mtoto kulelewa na mzazi mmoja.WATOTO HUATHIRIKA SANA KISAIKOLOJIA.
Ulijibu nini??Duh! Na hao wawili watakua mwili mmoja!! Usizini kabla ya ndoa, watoto ni Baraka! Siku moja NILIWAHI kuulizwa swali gumu Sana " Baba Kwanini ulimuacha Mama?! "
Mi ni mtu mzima ila nililelewa na mzee wangu, niliwahi muuliza mzee wangu hili swali mpaka leo hajajibu, ilibidi nifanye utafiti upande wa mama nisikie stori yake. Sasa ni ngumu kujaji maana mama kaniambia sababu ila mzee kagoma kutoa sababu mpaka leo.Daah hilo swali pasua kichwa aisee!
YapHalafu wakiitwa watu wenye akili timamu waje mbele na wewe utakwenda!?