Ni chakula gani watu wanakipenda lakini wewe hujawahi kukielewa kabisa?

Wengi hamjui kupika au mmetokea familia ambazo wanachemsha chakula sio wanapika chakula, mtu anasema wali wa nazi,samaki wa nazi,supu ya kuku na samaki sijui dagaa na nyanya chungu vibaya. Hamko serious nyie! Acheni kuchemsha chakula, mjifunze kupika
 
Hizo fix mkuu,
Mimi Nina miaka 30 siijuwi chai ya rangi,
Kwahyo tumbo limejaa madini ya masufuria?

Ninachojuwa Mimi chai huleta joto mwilini na sio zaidi.
Mkuu kwani ukiambiwa Parachichi lina madini ya kuongeza kinga mwilini na wewe na miaka yako zaidi ya 30 ukawa huja wahi kula parachichi ndio utakua hauna damu?

Always make Google your best friend atakupa mwanga wa mambo mengi usiyo yakua mkuu
 
Attachments

  • F272BCEF-D11F-4FAD-A83F-F551B9DDBB33.png
    F272BCEF-D11F-4FAD-A83F-F551B9DDBB33.png
    389.7 KB · Views: 1
Naona sushi kinakuwa overrated lakini mimi sijawahi kukielewa kabisa pamoja na chapati za kusukuma kila mtu ana hype chapati maharage ila mimi sizielewi kabisa.​
Sausage
Pizza
Chips
Na mengine ya aina hiyo siwezi hata kupoteza Hela kununua Wala ukininunulia umepoteza Hela Yako

Nunua kg1 mbuzi choma
Au mkuu wa meza
 
Wengi hamjui kupika au mmetokea familia ambazo wanachemsha chakula sio wanapika chakula, mtu anasema wali wa nazi,samaki wa nazi,supu ya kuku na samaki sijui dagaa na nyanya chungu vibaya. Hamko serious nyie! Acheni kuchemsha chakula, mjifunze kupika
Mkuu Mimi ndizi nyama hata upike ukiwa uchi au fanya uwezavyo haipandi kabisa. Mimi ndizi napenda za kuiba tu Toka shambani basi hizi za kupika nk hamna kitu.

Nimekula Kwa wapishi tofauti tafaut na wanaosifiwa lakini wapi.
 
Mkuu kwani ukiambiwa Parachichi lina madini ya kuongeza kinga mwilini na wewe na miaka yako zaidi ya 30 ukawa huja wahi kula parachichi ndio utakua hauna damu?

Always make Google your best friend atakupa mwanga wa mambo mengi usiyo yakua mkuu
Kwahyo wale ambao bila kunywa chai ya rangi kichwa lazima kiume, anakuwa amekosa madini gn?
Au amezidisha kuondoa madini ya chuma?

Chai ya rangi zaidi ya kuleta joto mwilini haina maana yeyote..
 
Huenda nikweli lakini nimeshajari mara nyingi mno pengine Kwa macho kinakutamanisha kabisa lakini ukiweka mdomoni unaona hapana kabisa...ndo hivyo siwezi lazimisha na sio kwamba natapika au kuugua hapana nikutokupanda tu
Naelewa mimi mwenyewe Pizza imenishinda kabisa lakini unakuta kuna watu wanavyoisifia, siku moja nilijaribu sitamani tena kula
 
Back
Top Bottom