Jana Diamond alionekana akizindua mradi. Nilishikwa nabutwaa kwani ni awamu hii tu ambapo hadi wasanii wanaenda kuzindua miradi kwa kuta utepe.
Mungu akusamehe bureBora awamu hii, angeshinda yule mwingne hiyo miradi ingekuja zinduliwa na wauza unga, wazinzi, majambazi na washenzi wote unaowajua wewe!
Makamu wa rais ndie mwenye dhamana ya kuweza zindua duka la nguo la mtu binafsi?kazi ya makamu wa rais anafanya mkata viuno
As your name indicates goodluck!Bora awamu hii, angeshinda yule mwingne hiyo miradi ingekuja zinduliwa na wauza unga, wazinzi, majambazi na washenzi wote unaowajua wewe!
Subiri awamu ya Lowasa hata wewe utafungua miradi.
GSM wakwepa kodi wanaomfadhiri bashite?Acha mawazo mgando huo mradi sio wa serikali ni Duka jipya la nguo la GSM.