Ni ajabu leo mtu bila aibu anasema ni bora ya Kikwete

Kukubaliana na kila kitu anachofanya JPM nao ni kuwa kiazi, he's human na ana mapungufu yake lakini usihalalishe uovu wa mmoja kwa sababu tu hupati kile unachotaka kwa mwingine.

Rejea post yangu ya awali. Binafsi mimi simsafishi JK...mapungufu yake yako pale pale na bado anabakia kuwa mtu aliyetufikisha katika hali hii tuliyonayo. Ninachofanya ni ku acknowledge sifa yake moja nzuri ambayo ni kwamba alikua na ustahimilivu wa kidemokrasia (demcoratic tolerance).
 
Maelezo marefu pumba tupu,huyu nae ni gt,yaani kwa hii miezi michache ya mateso bado huoni tofauti?we ni mtanzania kweli?usijeongea huu upuuzi wako vijiweni watu watakulamba jicho.
 
Back
Top Bottom