Ni aibu kwamba mpaka sasa Tanzania hatuna mfumo wa kupokea pesa kwa Paypal

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,188
3,370
Katika karne hii tumebarikiwa maendeleo ya makubwa mno katika teknolojia na sasa dunia imekua kama kijiji. Yapo mengi sana yaliyofanywa katika teknolojia ila internet ni teknolojia ambayo imekuwa na faida nyigi sana ikiwemo kuanzishwa kwa mtandao wa paypal ambao hurahisha kutuma na kupokea pesa kwa usalama zaidi. kwa lugha nyepesi huu mtandao ni kama m-pesa ya dunia.

Nchi nyingi sana wakiwemo hata majirani zetu kenya waliiona fursa ya kujiunga na mtandao wa paypal, leo hii muuzaji wa kenya anaweza kulipwa pesa na mnunuzi wa ujerumani anaehitaji huduma / bidhaa.

Tanzania tunachoweza kufanya kwenye huu mtandao ni kufanya malipo tu na sio kupokea malipo, kwa mfano tunaweza kununua bidhaa / huduma za kenya ila haiwezekani mtu wa marekani au kenya kununua bidhaa zetu kwa kutumia paypal, hii imesababisha watanzania wengi tushindwe kuuza bidhaa na huduma zetu mtandaoni kwa sababu wanunuzi wengi wanapendelea kununua bidhaa zao kwa paypal ambayo ni salama.

Kwa hapa Tanzania hiki kitu kimepigiwa kelele sana pasipo kua na dalili yoyte ya utekelezaji, Kinachobakia watu wanatumia internet kucheki youtube, kufatilia umbea instagram, kuchati whatsapp na kutafuta wachumba facebook na badoo.

Tunakwama wapi katika kutekeleza sera ya Tanzania ya viwanda, Kuwepo kwa paypal Tanzania ni kuleta uchochezi wa kupanua viwanda kwasababu soko litavuka hadi mipaka.
 
Inakatisha tamaa kwa kweli, kwa mfano mimi nilifanya kazi na mtu online kimbembe kikawa kwenye kulipwa bahati nzuri alikua na wakala huku Tanzania. Ndo nikatumiwa kupitia m-pesa.
 
Katika karne hii tumebarikiwa maendeleo ya makubwa mno katika teknolojia na sasa dunia imekua kama kijiji. Yapo mengi sana yaliyofanywa katika teknolojia ila internet ni teknolojia ambayo imekuwa na faida nyigi sana ikiwemo kuanzishwa kwa mtandao wa paypal ambao hurahisha kutuma na kupokea pesa kwa usalama zaidi. kwa lugha nyepesi huu mtandao ni kama m-pesa ya dunia.

Nchi nyingi sana wakiwemo hata majirani zetu kenya waliiona fursa ya kujiunga na mtandao wa paypal, leo hii muuzaji wa kenya anaweza kulipwa pesa na mnunuzi wa ujerumani anaehitaji huduma / bidhaa.

Tanzania tunachoweza kufanya kwenye huu mtandao ni kufanya malipo tu na sio kupokea malipo, kwa mfano tunaweza kununua bidhaa / huduma za kenya ila haiwezekani mtu wa marekani au kenya kununua bidhaa zetu kwa kutumia paypal, hii imesababisha watanzania wengi tushindwe kuuza bidhaa na huduma zetu mtandaoni kwa sababu wanunuzi wengi wanapendelea kununua bidhaa zao kwa paypal ambayo ni salama.

Kwa hapa Tanzania hiki kitu kimepigiwa kelele sana pasipo kua na dalili yoyte ya utekelezaji, Kinachobakia watu wanatumia internet kucheki youtube, kufatilia umbea instagram, kuchati whatsapp na kutafuta wachumba facebook na badoo.

Tunakwama wapi katika kutekeleza sera ya Tanzania ya viwanda, Kuwepo kwa paypal Tanzania ni kuleta uchochezi wa kupanua viwanda kwasababu soko litavuka hadi mipaka.
Naona sera za paypal na BOT zinapingana sana ndo maana kadi zetu hizi za credit hata ukiweza kufanikisha kuiunga paypal(japo kwa mbinde) bado hautoweza kupokea utaishia kutuma tu. Lkn nadhan ukiwa na card ya banks kama baclays na stanbic unaweza kufanikisha kujiunga moja kwa moja na ukawa unapokea na kutuma pesa.
 
Is this an issue of control? BOT wanataka Paypal wafungue ofisi Tanzania?

But then again kwa nini wanaruhusu kutoa hela lakini si kupokea?

Totally bollocks.
 
Paypal tanzania haina faida, tunahitaji cryptocurrencies sasa hivi, paypal ni past nchi nyingi zinaacha kutumia huo upuuzi
 
Naona sera za paypal na BOT zinapingana sana ndo maana kadi zetu hizi za credit hata ukiweza kufanikisha kuiunga paypal(japo kwa mbinde) bado hautoweza kupokea utaishia kutuma tu. Lkn nadhan ukiwa na card ya banks kama baclays na stanbic unaweza kufanikisha kujiunga moja kwa moja na ukawa unapokea na kutuma pesa.
Hata uwe na kadi za benki za hizo Barclay's au Stanbic endapo ulisajilia Tanzania hutaweza kupokea kwa PayPal, kwa mfano equity ya Kenya wanaruhusu kupokea pesa kwa PayPal ila kwa Tanzania huwezi, hii imepelekea watu wengi kuruka hiki kiunzi kwa kusajilia kadi zao Kenya, hata mtandao wa safari com Kenya wanaruhusu kupokea PayPal kwa M-PESA na kuna wabongo wanaenda mpakani kusajili hizi line
 
Paypal tanzania haina faida, tunahitaji cryptocurrencies sasa hivi, paypal ni past nchi nyingi zinaacha kutumia huo upuuzi
Kwenye mjadala huu uwe unaongea unachokijua kwa kina sio ulichosikia kwa juu juu tu, mkuu, hizo cryptocurrencies wanaziruhusu kwenye masoko kama fiverr,freelancer, eBay, amazon, alibaba?????????
 
Najua crypto zaidi ya unavyofikiria.
Kutokuzikubali doesn't mean tukubali paypal, ni old tech, wakati wenzetu wanaachana na paypal sisi ndiyo tukimbilie sasa hivi? ni too late, paypal ilikua top zamani sio siku hizi, hata alibaba paypal hawatumii siku hizi, wana bad policies, rahisi mtu kumuibia seller, bado makato yao yapo juu mno. Mi nakushangaa unaita paypal mpesa ya dunia hehehe, dunia ya 2010?
 
Hata uwe na kadi za benki za hizo Barclay's au Stanbic endapo ulisajilia Tanzania hutaweza kupokea kwa PayPal, kwa mfano equity ya Kenya wanaruhusu kupokea pesa kwa PayPal ila kwa Tanzania huwezi, hii imepelekea watu wengi kuruka hiki kiunzi kwa kusajilia kadi zao Kenya, hata mtandao wa safari com Kenya wanaruhusu kupokea PayPal kwa M-PESA na kuna wabongo wanaenda mpakani kusajili hizi line
Okay hilo la stanbic na barclays siwezi kulizungumzia sana coz sina uhakika nalo. Lakini Angalia kilichonitokea hapo chini

Pay pal wana huduma inaitwa PayPal Direct. Hii ndo inaruhusu mtu kumlipa user wa paypal hata kama yeye mlipaji hana paypal account au bado account ya mlipaji haina linked card yoyote.

LAKINI kama ukitumia paypal direct wakati email yako ipo paypal na haujafanya linking ya card yoyote ile inayokubalika basi paypal wana add automatically hio credit card yako kwenye list ya cards zako za paypal. Hio mimi ilinitokea kwenye MPESA MASTERCARD yangu hapahapa TZ
lakini changamoto ni kwamba nikipata refund yoyote ile inachukua kama wiki au siku tano kuingia kwenye credit card yangu japo paypal wanakua wameshanipa notification kwamba kuna transaction yangu imefanyika,

Screenshot_20190813-113725.png

Hio card ambayo iko linked hapo ni MPESA Mastercard ya hapahapa Bongo
 
Paypal tanzania haina faida, tunahitaji cryptocurrencies sasa hivi, paypal ni past nchi nyingi zinaacha kutumia huo upuuzi
Cryptocurrenciew ikianza tumiwa na Amazon ndio utasema Ulimwengu umefika Hapo Kama Giants awajaruhusu iyo method of payment,paypal ndio suruhisho kwa sasa
 
Okay hilo la stanbic na barclays siwezi kulizungumzia sana coz sina uhakika nalo. Lakini Angalia kilichonitokea hapo chini

Pay pal wana huduma inaitwa PayPal Direct. Hii ndo inaruhusu mtu kumlipa user wa paypal hata kama yeye mlipaji hana paypal account au bado account ya mlipaji haina linked card yoyote.

LAKINI kama ukitumia paypal direct wakati email yako ipo paypal na haujafanya linking ya card yoyote ile inayokubalika basi paypal wana add automatically hio credit card yako kwenye list ya cards zako za paypal. Hio mimi ilinitokea kwenye MPESA MASTERCARD yangu hapahapa TZ
lakini changamoto ni kwamba nikipata refund yoyote ile inachukua kama wiki au siku tano kuingia kwenye credit card yangu japo paypal wanakua wameshanipa notification kwamba kuna transaction yangu imefanyika,

View attachment 1180157
Hio card ambayo iko linked hapo ni MPESA Mastercard ya hapahapa Bongo
Kweli Refund uwa Inarudi ndani ya Siku 5 za Kazi ,niliona iyo kwenye MPESA MASTERCARD
 
Najua crypto zaidi ya unavyofikiria.
Kutokuzikubali doesn't mean tukubali paypal, ni old tech, wakati wenzetu wanaachana na paypal sisi ndiyo tukimbilie sasa hivi? ni too late, paypal ilikua top zamani sio siku hizi, hata alibaba paypal hawatumii siku hizi, wana bad policies, rahisi mtu kumuibia seller, bado makato yao yapo juu mno. Mi nakushangaa unaita paypal mpesa ya dunia hehehe, dunia ya 2010?
kwenye miti mingi hapana wajenzi, kujua kwako cryptocurrency ni irrelevant na hii maada.

Inaonekana hujui chochote zaidi ya kuujaza huu uzi, hakikisha unavyoandika humu cable yako ya vidole vinavyochapa keyboard viwe connected na facts.

Dawa ya anaepiga kelele kama kichaa ni kukaa kimya tu😁 😁 😁 😁 , it always works
 
Okay hilo la stanbic na barclays siwezi kulizungumzia sana coz sina uhakika nalo. Lakini Angalia kilichonitokea hapo chini

Pay pal wana huduma inaitwa PayPal Direct. Hii ndo inaruhusu mtu kumlipa user wa paypal hata kama yeye mlipaji hana paypal account au bado account ya mlipaji haina linked card yoyote.

LAKINI kama ukitumia paypal direct wakati email yako ipo paypal na haujafanya linking ya card yoyote ile inayokubalika basi paypal wana add automatically hio credit card yako kwenye list ya cards zako za paypal. Hio mimi ilinitokea kwenye MPESA MASTERCARD yangu hapahapa TZ
lakini changamoto ni kwamba nikipata refund yoyote ile inachukua kama wiki au siku tano kuingia kwenye credit card yangu japo paypal wanakua wameshanipa notification kwamba kuna transaction yangu imefanyika,

View attachment 1180157
Hio card ambayo iko linked hapo ni MPESA Mastercard ya hapahapa Bongo
Hio paypaly direct kuna rafiki yangu aliwahi kuijaribu, Aliseti kila kitu ila ikakataa kupokea pesa kwasababu nchi yetu ipo black listed,

hizo refunds ni kila kadi ambayo ipo linked na paypal huwa zinaweza kuwa refunded bila tatizo lolote, ila kimbembe kipo kwa baadhi ya benki zetu hizo refund hadi upate labda uende makao makuu maana utazungushwa hadi basi, ila kwa nenki kama bank abc sijawai kupata tatizo lolote kwenye transactions na reffunds za paypal
 
Cryptocurrenciew ikianza tumiwa na Amazon ndio utasema Ulimwengu umefika Hapo Kama Giants awajaruhusu iyo method of payment,paypal ndio suruhisho kwa sasa

"Suluhisho" sio "suruhisho"
Na amazon hawakubali paypal kama ulikua hujui, hehehe njia ya mtu anayejifanya anajua hua ni fupi sana, lazima kuna sehemu utateleza. Sasa tuendelee kubishana kuhusu payment system kitu ambacho nimeshiriki kutengeneza, nipo kwenye software industry zaidi ya miaka 10.
 
kwenye miti mingi hapana wajenzi, kujua kwako cryptocurrency ni irrelevant na hii maada.

Inaonekana hujui chochote zaidi ya kuujaza huu uzi, hakikisha unavyoandika humu cable yako ya vidole vinavyochapa keyboard viwe connected na facts.

Dawa ya anaepiga kelele kama kichaa ni kukaa kimya tu😁 😁 😁 😁 , it always works

Hakuna kitu unajua, tatizo la maskini ndo hilo. Unajifanya unajua huku hakuna kitu unajua zaidi ya kusoma story online. Ushawahi hata kufanya online payment au unapiga tu kelele? Stupid!
 
"Suluhisho" sio "suruhisho"
Na amazon hawakubali paypal kama ulikua hujui, hehehe njia ya mtu anayejifanya anajua hua ni fupi sana, lazima kuna sehemu utateleza. Sasa tuendelee kubishana kuhusu payment system kitu ambacho nimeshiriki kutengeneza, nipo kwenye software industry zaidi ya miaka 10.
Tunajenga Hoja tukitafuta solutions za Malipo wapo wakina Pesapal, ePesa lakini the best method na secure kwa sasa ni Paypal watu wa Amazon kutoitumia sio tatizo maana AMAZON is Based in USA

Sasa sisi kwa Tanzania ,unadhani ipi method itafaa mzee wa Software Engineering
 
Back
Top Bottom