Ni aibu kwa Rais Samia na CCM kushidwa hoja kwa kiasi hiki

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
8,051
11,267
Ni Aibu kwa Raisi Samia na CCM kushidwa hoja kwa kiasi hiki. badala ya kujadili hoja wanakimbilia kuwashika na kuwafungulia mashtaka wapinzani.

Ni Mtanzania gani mwenye akili yake haoni yanayo endelea. Nani mwenye akili zake ataenda kupiga kura kwa mazingira haya!
 
nyumba ya vibaka waropokaji wa kisiasa ni korokoroni tu gentleman :NoGodNo:
 
CHADEMA ACHENI UHUNI WENU WA AJABU, HUWEZI KUFIKA TU KARIAKOO NA KUANZA MIKUTANO BILA KIBALI CHA KURUHUSU MKUTANO, MAMBO MENGINE MUWE WA KWELI TU, MMEJIKAMATISHA NINYI WENYEWE KIPUMBAVU KABISA.
 
Wasira na nchimbi walivyo
IMG_1295.jpeg
 
Ni Aibu kwa Raisi Samia na CCM kushidwa hoja kwa kiasi hiki. badala ya kujadili hoja wanakimbilia kuwashika na kuwafungulia mashtaka wapinzani.

Ni Mtanzania gani mwenye akili yake haoni yanayo endelea. Nani mwenye akili zake ataenda kupiga kura kwa mazingira haya!
 
Huyu bibi bila policcm hamna kitu, mwepesi kama unyoya....wanamdanganya tu eti anaupiga mwingi, asivyojielewa anadhani wanamsifu kumbe wanamkejeli!
 
Back
Top Bottom