Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 3,139
- 5,793
Mimi niliwahi kuitwa mahali na mtu nikaenda hiyo sehemu nikakutana na marafiki zake, sasa huyo mmoja niliwahi kudate nae aisee hii aibu ilikuwa kubwa sana na huyu jamaa niliekuwa nae akawa ananiintroduce mimi mtu wake nini ana furahia😁😁
After hapo yule jamaa nadhani alipewa taarifa na rafiki yake hakunitafutaga tena na alikuwa hajawahi kula mzigo, ndiyo iliishaga hivyo.
Hiyo ilikuwa kitambo kwasasa nimeacha hayo, maana hamchelewi kunipopoa😁😁🙌