Nguvu na Kelele zote za Watanzania Roma Umeshindwa kusema Ukweli?

Imagine umepigwaaa harafu unatishiwa wife wako atauawa kinyama ukiropoka ukweli. Unafika Police unahojiwa tena na kutishwa zaidi. Policemen wenyewe wanaokuhoji wanaoneshwa kutishika. What will you do or say to the public?

Family comes first. Mimi nimemuelewa Roma.
kina nani hao?
 
Roma Tunakuomba achana Rap wewe Imba Bongo flava yako kibiashara,Real Raper huwezi kumzuia kusema ukweli hata umwekee bastora,Acha kujiita Raper jiite Bongo flaver au Bongo hip hap.
Huna msingi wa kuwa mwana Real hip hop.Bora Mh Lema angekuwa mwana Hip hop.
Sio nyie njaa kali na Na Ukali wa Mbwa koko akiwa karibu na kwao.
Eti tuwaachie vyombo husika kwan vyombo vilitekwa?
Ushawahi tikiswa meno na spana wewe,..au kuingiziwa sindano kwenye kucha??
Au kutype ndo unachojua?!
 
Roma Tunakuomba achana Rap wewe Imba Bongo flava yako kibiashara,Real Raper huwezi kumzuia kusema ukweli hata umwekee bastora,Acha kujiita Raper jiite Bongo flaver au Bongo hip hap.
Huna msingi wa kuwa mwana Real hip hop.Bora Mh Lema angekuwa mwana Hip hop.
Sio nyie njaa kali na Na Ukali wa Mbwa koko akiwa karibu na kwao.
Eti tuwaachie vyombo husika kwan vyombo vilitekwa?
Umejuaje ya Roma?
 
Uhai wake ni muhimu,watakwa wamehojiwa na wameachiwa kwa masharti,tumuelewe.
 
Ukisema ukweli wanakuzima kama Analogi kwenda Digitali...Alishaimba kwenye moja ya nyimbo zake, huenda labda anaogopwa kuzimwa!
 
Do o die kwani huoni waharabu wanakufa kwa wanachokiamini?
Hata wewe unayo nafasi ya kufany hicho unacho kitaka roma afanye. Simply fungua account facebook halafu andika scenario unayoiamini ilitokea kwa roma na uhakika jamaa watakuchukua halafu ukienda huko ukakaze mwanzo mwisho. (Do o die)
 
Watanzania turudie enzi ambazo tulikuwa tunatumia akili,busara na hekima kwenye kufikiri na sio kutumia mihemko ya Itikadi za kisiasa na UDINI. Tanzania ni kubwa zaidi ya Chama cha siasa na mengineyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom