Nguvu kubwa kusema hakuna njaa, ila walaji wanalalama

WEWE EBU SOMA KWANZA ukitoka shule ndio uje HUKU JF.......Unatakiwa uelewe KIONGOZI NI MWALIMU PIA.....
Wewe na yeye unadhani nani anastahili kuwa Shule kwanza?
Eti kiongozi ni Mwl pia? Waweza kuwa sawa, lakini mtukufu wetu anaweza kuingia kwenye kundi hilo? Labda tukawaulize Kagera kuwa huyu mwalimu alipokuja kawafundisha nini?
 
WEWE EBU SOMA KWANZA ukitoka shule ndio uje HUKU JF.......Unatakiwa uelewe KIONGOZI NI MWALIMU PIA.....
Haahaahaahaahaaa
Kabla sienda shule, naomba ufafanuzi kidogo ktk hili.
Umesema Kiongozi ni mwalimu pia.
Kwa uelewa wangu (mdogo maana sijaenda shule) Kila dini na madhehebu yake huwa na viongozi (ambao ni walimu pia kwa mtazamo wako) wanaopatikana kwa kufuata taratibu za dini/dhehebu husika zilizowekwa.
Je, Mwalimu (wa neno la Mungu KAMA Mwakasege) ni kiongozi pia?
Kama ni kiongozi, wa kanisa/dhehebu lipi?
 
Mkuu mi Niko kijijini huku kunaitwa katengele njaa haipo kabisa we inaonekana unataka kuishi kwa rimoti uko mjini unataka uwe msemaji wa kijijini kwenu
Hata Ethiopia ilipopatwa na njaa sio kila mahali palikuwa na njaa ndio maana wapo walikufa na wapo walipona.
Maeneo yanayotegemea mvua za vuli mengi yameathirika kwa kukosa mvua na ndio kwenye njaa.
Hata hivyo pamoja na serikali kukana hakuna njaa na kutumia nguvu kubwa KULINDA KAULI YA MKUU baada ya kupotoka, imeshasema itasambaza tani 1.5 m kutoka katika hifadhi yake. Unatoaje chakula kwenye hifadhi ya chakula kama hakuna njaa?
Kinachofanyika sasa hivi ni kulinda heshima ya mkuu baada ya kukosea na kusema hakuna njaa kote wakati kuna maeneo ipo
 
Kuna nguvu kubwa sana inatumika kwa viongozi wa kuteuliwa kuunga mkono kauli ya mkuu kuwa hakuna njaa na vyombo vya habari kadhaa kama Star TV na Uhuru. Lakini vijijini kwenye walaji wenyewe wanapohojiwa wanakiri kuna njaa. Hata mijini njaa ipo ila watu wanasaidiwa na akiba yao ya fedha.
Tumeona na viongozi wa dini makini ambao wanapata data zao kutokea chini kabisa nao wanesema ipo shida na tuwaombee viongozi waione na kuchukua hatua.
Utetezi wa hao wanaounga mkono kuwa hakuna njaa ni eti wanasiasa na wafanyabiashara ndio wanapotosha.
Jee kutokuwepo njaa ni vyakula kujaa kwenye maghala ya serikali wakati wananchi wanalalia embe?
Kama hakuna njaa wanasambaza chakula cha nini?halafu takwimu za idadi ya tani mil.1.5 wanayosema sio kweli serikali haina akiba ya chakula kiasi hicho,tutaweka ushaidi hapa soon
 
Wewe MOTOCHINI usiipende Ccm kuliko wazazi wako na nduguzo! Acha utani kwenye maisha ya watu eti kulinda maneno yaliyo fyatukwa na mtu yule bila breki!
Wazazi wangu hawana ujinga kama wenu!!
Unawezaje kuwauzia wenye njaa ki T-shirt cha mtumba
25000Tsh kisa neno njaa!!
Mwenye njaa unamjua kweli
Wewe unanjaa unakesha Jf!!
 
Wazazi wangu hawana ujinga kama wenu!!
Unawezaje kuwauzia wenye njaa ki T-shirt cha mtumba
25000Tsh kisa neno njaa!!
Mwenye njaa unamjua kweli
Wewe unanjaa unakesha Jf!!
Hiyo T shirt imeuzwa kwa nani wewe? Unalishwa maneno nawe wabugia kama kitumbua!
Wenzako wameshashtuka kuwa hii ni tafrani na tani kadhaa zimetolewa kusambazwa. Sasa wanasambaza ili watu wakapikie kangara?
 
Hiyo T shirt imeuzwa kwa nani wewe? Unalishwa maneno nawe wabugia kama kitumbua!
Wenzako wameshashtuka kuwa hii ni tafrani na tani kadhaa zimetolewa kusambazwa. Sasa wanasambaza ili watu wakapikie kangara?

Hamjui kutofautisha njaa na upungufu wa chakula!!
Mkaamua kutengeneza dili kama lile la Saa8!!
T-shirt inauzwa kwa wenye njaa!!!
Mkapimwe
 
Hao wanao lalia EMBE umewaona kwa MACHO yako au UMEMEZESHWA MANENO??????
Nadhani mheshimia Godwin Gondwe Mkuu wa Wikaya ya Handeni anaweza kukupa jibu halisi. Ni kweli kuwa mahali kama vijiji vya wilaya ya Handeni na Kilindi watu wanashindia maembe. Mungu ni mwema kwa kuwa kweli miembe ilizaa sana msimu huu na yanatumika.
 
Kumbe mjini watu wanapesa za kwenda kununua VITU SUPERMARKET...daah aiseeh....SASA MBONA KILA SIKU MNAPIGA KELELE HUMU YA KUWA MH. RAIS kaficha PESA?????......hiki kizazi cha NDIMI MBILI ni hatari sana...na hii yote ni urithi mnaopata toka kwa KINA MSIGWA...LISSU....MBOWE maana hawa VIONGOZI kwa ndimi mbili ni BALAAA....sasa naona na VIJANA mmeisharithi......na kamwe hamjui mnasimamia nini...
Wewe pia hujamwelewa Chakaza,unarukaruka tu inawezekana ni lilelile tatizo la mfumo wa elimu uliokujenga.
 
Back
Top Bottom