Nimeokoka sweetheart...Ushawahi dandia lishangazi lo???
Unamuonea huruma Ngolo Kante?Waafrica wote akili zetu zinafanana,
Ustaadhi Ngolo Kante amevamia mtumbwi wa vibwengo kwa kuoa lishangaji Jude Littler lenye watoto watatu na umri wa miaka 47.
Historia ya shangazi huyo huko nyuma sio nzuri Djibril Cisse aliwahi kuwa nae huko nyuma aliambulia kupigwana kitu kizito.
Pesa zote za waarabu huenda zikaporwa kibabe kupitia divorce mwishoni mwa career ya Ngolo Kante.
Kabla ya ndoa hii Ngolo Kante alikuwa akiheshimika sana na wachezaji wenzake na wadau wengi wa mpira, weusi kwa wazungu lakini inasemekana sasa wamemdharau sana.
Labda atumie akili ya yule mwamba Hakim ya kuandika mali zote jwa jina la mama yake .
Yote juu ya yote pesa ni zake na hatujui anachopewa na lishangazi
Ndio Umeokoka but ushawahi kutana nalo limshangazi???Nimeokoka sweetheart...
Nimeokaka sweetheart jua tu hivyo...Ndio Umeokoka but ushawahi kutana nalo limshangazi???
Kama lile lilokua linajibebisha hulijui halijujui eti "babe" 😂😂
Utafika imeisha hio walai wee endekeza minee tu😁!Nimeokaka sweetheart jua tu hivyo...
Hahaha...
Hua zinaotaga upya...Utafika imeisha hio walai wee endekeza minee tu😁!
Hawakomi tu hawa wajingaWaafrica wote akili zetu zinafanana,
Ustaadhi Ngolo Kante amevamia mtumbwi wa vibwengo kwa kuoa lishangaji Jude Littler lenye watoto watatu na umri wa miaka 47.
Historia ya shangazi huyo huko nyuma sio nzuri Djibril Cisse aliwahi kuwa nae huko nyuma aliambulia kupigwana kitu kizito.
Pesa zote za waarabu huenda zikaporwa kibabe kupitia divorce mwishoni mwa career ya Ngolo Kante.
Kabla ya ndoa hii Ngolo Kante alikuwa akiheshimika sana na wachezaji wenzake na wadau wengi wa mpira, weusi kwa wazungu lakini inasemekana sasa wamemdharau sana.
Labda atumie akili ya yule mwamba Hakim ya kuandika mali zote jwa jina la mama yake .
Yote juu ya yote pesa ni zake na hatujui anachopewa na lishangazi
Wa Morocco nae hajafuata fedha hapo?Yeye mwenyewe labda sijui kaona nini, Mwenzake Dembele kaenda Morocco kaoa chuma cha Kiarab, hijabu mpaka unyayoni hawa wa Europe kawafungia kioo.
View attachment 3095754
Huendi mbinguniHua zinaotaga upya...
Ila huyu muarabu mbona kama mikono mweusi🤗🙄🙄uso na mikono rangi mbona ni kama kidonge cha rangi mbili😀😀😀Yeye mwenyewe labda sijui kaona nini, Mwenzake Dembele kaenda Morocco kaoa chuma cha Kiarab, hijabu mpaka unyayoni hawa wa Europe kawafungia kioo.
View attachment 3095754
Hili sio lishangazi sifa kuu ya lishangazi lazima liwe na nyama nyama zilizononaHahahah uzuri wa mtu ni fumbo kiufupi mimi sioni Kante amependea nini...kama wanaume wakiafrica ametuangusha sana...
View attachment 3095751
Pepo ni hapa hapa duniani...Huendi mbinguni