mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,029
- 49,221
Waafrica wote akili zetu zinafanana,
Ustaadhi Ngolo Kante amevamia mtumbwi wa vibwengo kwa kuoa lishangaji Jude Littler lenye watoto watatu na umri wa miaka 47.
Historia ya shangazi huyo huko nyuma sio nzuri Djibril Cisse aliwahi kuwa nae huko nyuma aliambulia kupigwana kitu kizito.
Pesa zote za waarabu huenda zikaporwa kibabe kupitia divorce mwishoni mwa career ya Ngolo Kante.
Kabla ya ndoa hii Ngolo Kante alikuwa akiheshimika sana na wachezaji wenzake na wadau wengi wa mpira, weusi kwa wazungu lakini inasemekana sasa wamemdharau sana.
Labda atumie akili ya yule mwamba Hakim ya kuandika mali zote jwa jina la mama yake .
Yote juu ya yote pesa ni zake na hatujui anachopewa na lishangazi