Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,703
Zama PM ukaopoe Samaki lakini tumeshakupa tahadhari kabisa, uwe na hoja za msingi aisee usije ukatutia aibu Malijendari 😂😂😂
Zama PM ukaopoe Samaki lakini tumeshakupa tahadhari kabisa, uwe na hoja za msingi aisee usije ukatutia aibu Malijendari 😂😂😂
Wote hao ni wivu tu wanakuonea, zama pm chap utanikuta nakusubiria
Huo ni zaidi ya ujasiriWatu walishaoana
Kama huamini ni wewe
Nini inashindikana?Sasa mapenzi ya kukutana mtandaoni yana wezekana vipi
Yaani nyie 🤣🤣🤣Wakurungwa hatudanganywi kizembe aisee.. 😅😅😅
HongeraWatu wanaanza kama wanavyoanza huko nje
Nina rafiki wa kawaida sana nlikutana nae Facebook leo amekuwa zaidi ya ndugu. Kwa shida na raha..
Moja Kati ya wadada watulivu na wataratibu hapa jf. Nakikubali Sana. Achana na hao wenye wivu.
Hao wawili ni mwendo wa kuwalima dislike tu akili iwakae sawa waache kuniandama.
Baadae usije eti ooh kaka ningejua ningewasikiliza🤣🤣🤣Hao wawili ni mwendo wa kuwalima dislike tu akili iwakae sawa waache kuniandama.
Wivu mbaya Sana.
Mzabzab na ndoa wapi na wapi🤣@mzabzab swahiba wangu wa ukweliii changamka upate mke uoe nipikiwe pilau mimi WiFi mwenye mdomo wake mjini.