B40 JF-Expert Member Dec 4, 2016 820 537 Jun 13, 2017 Thread starter #41 mkolosai said: Nembo utafikiri vibama au visheti vimeunganishwa Click to expand... Hii sio ligi
Z Zero 2 Hero JF-Expert Member Dec 16, 2012 508 1,016 Jun 13, 2017 #42 B40 said: Ni nchi ndio huoni ina rais wimbo Wa taifa Na bendera Click to expand... Mkuu zanzibar ina wimbo? Plz kama upo naomba unifahamishe unaitwaje na ikiwezekana uuweke hapa kwa faida ya wengi
B40 said: Ni nchi ndio huoni ina rais wimbo Wa taifa Na bendera Click to expand... Mkuu zanzibar ina wimbo? Plz kama upo naomba unifahamishe unaitwaje na ikiwezekana uuweke hapa kwa faida ya wengi
Poluyakhtov JF-Expert Member May 9, 2017 358 300 Jun 13, 2017 #43 Mbona inafanana na nembo ya shule ya chekechea!