Gabriel Kalinga
Member
- May 29, 2023
- 8
- 14
Habarini wanajamvi mimi ni mgeni, ninaomba support na cooperation kutoka kwenu
Unaomba support na ushirikiano upi na kwa jambo lipi?Habarini wanajamvi mimi ni mgeni, ninaomba support na cooperation kutoka kwenu
CCM moja hiyo uongo?Mi sio shabiki sana na mpira lakin napenda young africans
Mi sipo ktk siasaCCM moja hiyo uongo?
Serikal itakosa mapato mengiMtazamo wako ni upi kuhusu bandari kupigwa sale?
Okay nilijua ni CCM maana asilimia kubwa ya mashabiki wa Yanga ni CCMMi sipo ktk siasa
Kiukwel kwa maon na mtazamo wangu kuhusu hili suala ni nchi imeuzwa kutokana na mkataba wenyewe tutarud ktk enzi za utumwaMtazamo wako ni upi kuhusu bandari kupigwa sale?