game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,706
- 24,769
Nimekuwa pale Mombasa 90% ya nyimbo na sanaa zote ni Tz origin.Sasa niangalie Tv za Tz nikiwa Kenya kwanini? Hiyo kero yote wakati nina selection kabambe za kikenya? Tz nikiwa zangu home Kajiado, inahitaji dakika 45 tu nifike pale border Mangaa. Upende usipende nchi yako nimetia mguu mara kadhaa, kuna siku nimeishi kule Mkuranga kwa karibia miezi tisa. Hayo kando, jamani mjaribu ku'improve' hizo Tv zenu. Yaani wakati wa habari unapata wanaongea kuhusu Mwanza lakini picha ni ya hajj kule Saudia.![]()