Neno street adress kwenye paypal au ebay tunajaza nini?

ai nijaze ya ofisini, shulen au mahala popote pa karibu?au nijaze ya posta iliyo karibu na mm??
Mimi natumia paypal,sehemu ya post address jaza sanduku la posta la ofisini kwako na sehemu ya postcode jaza namba hii 00255

NB:Hizo informations za posta address pamoja na post code kwa matumizi ya paypal yalivyo limited Tanzania(kwa Tanzania huwezi kupokea wala kutumiwa pesa kwa kutumia paypal bali unaweza kufanya miamala ya kununua bidhaa online tu) huwa hazina kazi yeyote,just unajaza tu basi!
 
Kijiweni, Sinza.
Block G, House 13.
Dar Es Salaam.

Mfano huo wa street adress ..house number ipo nje ya geti lako.
 
najaza info zote vzur ila ikifika kwenye tar na mwaka wa kuzaliwa inagoma,
natumia website yao nikijaribu kujisajili kupitia app yao inakataa
 
7b749caa7ab57ef2e0c6b2b137ee63d9.jpg
 
Hapo kwenye adress jaza mahali ulipo, km Temeke, Ilala n.k. , kwenye postal code hapo jaza code ya sehemu yoyote mf newyork 10001 ukijaza code ya Tanzania inakataa hazitambuliki online. Kikubwa hapo nchi na mahali ulipo na no za simu ndizo wanaangalia sana.
 
Hapo kwenye adress jaza mahali ulipo, km Temeke, Ilala n.k. , kwenye postal code hapo jaza code ya sehemu yoyote mf newyork 10001 ukijaza code ya Tanzania inakataa hazitambuliki online. Kikubwa hapo nchi na mahali ulipo na no za simu ndizo wanaangalia sana.
ok
 
Mkuu ni rahisi sana, street address mfano upo DSM unaishi Mikocheni then street adress andika Mikocheni, kuhusu postal adress hizo ni code number muhimu kwasababu zinaonesha specific location uliyopo (ingia tovuti ya tcra) mfano ya Iringa 1500,ukiingia utazipata za mikoa yote..
N.B Paypal ni mfumo sensitive jitahidi kuweka detail za kweli
unaandika mfano mikocheni kwa maneno au
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom