Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Acheni hayo mapombe na machakula ya dukani
Nimefurahi hio 'tule' monde yako ulivyoandika. Kama sikosei huandikwa "Tout Le Monde" ni kifararansa maana zake ni "Kila Mtu" au "Dunia Nzima"mkuu njoo hapa break point 'tule monde'
Sijawahi kuweka pombe au sigara katika mwili wanguAcheni hayo mapombe na machakula ya dukani
Wewe ni under 18?Sijawahi kuweka pombe au sigara katika mwili wangu
More than 30 yrs oldWewe ni under 18?
Siri ya jeshi ile mkuu huwezi toa aliniambia "kiogwe" toka nizaliwe sijawahi kupata raha hizi ananiambia nikufanyie nini?.km ningekuwa mjinga angeniteka ningekuwa mariyoo![]()
![]()
![]()
![]()
.....mkuu mwambie tu ukweli unasubiri vumbi kama hakukuelewa kiutu uzima akikuuliza zuga upo sehemu yenye vumbi na upepo mwingi sana so ukiendesha gari hata mbele huoni so angoje ngoje kidogo.
Unakifanyaje kitunguu swaumu?Mnapata taabu ya Nini nakati kitunguu swaumu ndo habar ya mjini
Unapaka? Kwenye dudu?Unakifanyaje kitunguu swaumu?
Na wasiwasi wa hii tiba bila shaka kifo njenjeUnapaka? Kwenye dudu?
Hongera sana kwa hilo. umefaulu kushinda vizingiti vibaya kwa maisha ya mwanadam, hata mi sigara ama moshi sijawahi kutumia ila gambe napiga lkn najitahidi niweze kuacha piaSijawahi kuweka pombe au sigara katika mwili wangu
ila vipi ulivyoingia kipiga mzisho shuhuli yake ilikuaje?Daah mie ilinipa tabu sana siku moja maana niliambiwa unapaka kwenye kichwa cha abdalla waz thn baada ya nusu saa unanawa, sasa goma nililokuwa nataka piga nalo mechi likawahi kuja kabla ya mie kwenda kunawa, si akaana nipapasa anataka shika dudu huku lina madudu kama mtu kapakwa Inna anasubiri ikauke afute haa haaa nikawa nam block mkono asiguse kule aiseee nilipata shida sana mie, sitak tena hiyo kitu