Neno gani la kiingereza lina herufi tatu Lakin linaleta maana.

Kama kichwa cha habari kisemavyo.
Neno gani la kiingereza lina herufi tatu tu Lakini linaleta maana.
Mi nimeeanza na.
1.And
2.Use
3.But
4.See
.
.
.
.
.
.
.
.
100.Bye
Maana gani unayoikusudia? Sababu ktk baadhi ya maneno uliorozesha, hayaendani kuwa maneno yenye maana. Au unamaanisha tafsiri?
 
Axe = Shoka

Hii thread inanikumbusha ule mchezo wa Double Word
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom