Neema Akeyo alivyolipwa mshahara wake na NMB Plc baada ya kufukuzwa kazi kwa kutohudhuria kazini siku ya Jumamosi

Apelekwe kwenye nmb branch zinazofanya kazi hadi jumapili kama mliman city. Ili jumapili zote yeye awepo kufidia j mos
Yote hiyo ni kumuogopa? Kwa kuwa yeye anafanya kazi vizuri kuliko wote?
Kama hawezi kufanya kazi jumamosj, akatafute ambapo wanafanya kazi mwisho ijumaa
Niwe na taasisi yangu, alafu mtu anipangine siku za kufanya kazi?
 
kesi za mahakama kama hizi na kusubiri mafao ya nssf inabidi ufanye na mambo mengine ..si kwa hukumu ilivyochukua muda ivo.. over 8 years daah..kama ulikua unakopa kusubiri mpunga uingie basi hapo inakula kwako
Unaweza kufa kwa msongo wa mawazo
 
Uzuri taasisi nyingi za umma naona huwa wansheshimu sana suala la imani za watu, nakumbuka wakati niko pale udsm tulikua na kawaida ya kufanya test siku ya jumamosi,ila wasabato wao walikua wanafanya special test siku ya jumapili.
Suala la msingi hapo ni unyenyekevu! Humlazimishi kufanya hivyo, na wala hawajibiki!
Kwa Bosi muelewa, ukienda kwake kwa unyenyekevu na kumueleza kwa upole issue yako, atakuelewa tu!
Lakini ukienda kitemi, basi tegemea utemi!
 
Hii kesi nilisikia miaka iliyopita..huyu dada nadhani ni yule mwimbaji ya kwaya ya sabato SDA kurasini..kapambana miaka yote hiyo now imefika hitimisho .so kwa kwa hiyo miaka yote Ni dhahiri atavuta pesa ndefu..waajiri makini haya Mambo huwa wanamaliza mapema hata isingefika huko. Haki ya kuabudiwa kwa kila Imani lazima iheshimiwe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Jumamosi na Jumapili ni public holidays, hivyo wanalipwa mara mbili ya malipo ya kawaida. wtaumishi wengi wanazipenda hizi siku
Sawa kabisa. Sasa kuna zile kazi ambazo ni mandatory, mfano manesi, Madaktari, nk,
Hakuna mtu anaye ingilia imani ya mtu.
Cha msingi, unaongea kwa unyenyekevu na Bosi wako, anafanya arrangement kwamba siku yako ya ibada anapangwa mtu mwingine.
Siyo unajiamulia tu unaingia mitini kisa, wewe Msabato! Na mbaya sana watu fulani hutumia sababu hiyo kwa uwongo mtupu, kumbe alikuwa ameenda kufanya mambo yake!
 
Back
Top Bottom