Inawezekana... sijui. najaribu kufikiria computer nasahihishaje essays; maths workout etc......Si nasikia wanasahihisha kwa computer siku hizi...?..!!
Inawezekana... sijui. najaribu kufikiria computer nasahihishaje essays; maths workout etc......Si nasikia wanasahihisha kwa computer siku hizi...?..!!
Sidhani kama kuna ukweli hapa😆😆😆😆 computer inasaisha ya darasa la saba tu huko mbele haiwezi na ikiweza itatoa ufaulu usio sahihi😁Inawezekana... sijui. najaribu kufikiria computer nasahihishaje essays; maths workout etc......
Inabidi nijenge shuleAround 3.3 M registration fees inclusive. Uniforms and stationeries unalipa separately.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwanini haijawa ya kwanza kitaifa😉ST FRANCIS WAMETISHA LOOOOOO hongera zao ona matokeo yalivyo yaani percent kubwa POINT 7
Ukijenga mwalimu wa kwanza kumwajiri Geography niite, hakika hutajutia mkuu💯Inabidi nijenge shule
NI YA KWANZA KITAIFA ANGALIA MWISHONI HAPO YA KWANZA KIMKOA NA KITAIFASasa kwanini haijawa ya kwanza kitaifa😉
Mwenye point 9 ndio wa mwishoST FRANCIS WAMETISHA LOOOOOO hongera zao ona matokeo yalivyo yaani percent kubwa POINT 7
Kwani we hushangai darasa zina kutoa one ya point 7..?.Sidhani kama kuna ukweli hapa😆😆😆😆 computer inasaisha ya darasa la saba tu huko mbele haiwezi na ikiweza itatoa ufaulu usio sahihi😁
Hawa watoto wa siku hizi wanafaulu balaa!Watoto matumbo joto,
Duuh noma sana....Division one point 7 zipo 71 kati ya watoto 90
Kwani ada ya hawa jamaa ipoje?ST FRANCIS WAMETISHA LOOOOOO hongera zao ona matokeo yalivyo yaani percent kubwa POINT 7
Matokeo kwa SMS kwa njia ya simu ya mkononiNECTA wameandika matokeo ya Kidato cha nne na Upimaji wa kidato cha cha Pili na Darasa la Nne 2021, yatatangazwa hivi punde kaa tayari ndio mida hii.
All the best Comrades, see you at the top.
=====
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2020 yakionyesha kuwa asilimia 85 ya waliofanya mtihani huo wamefaulu.
Kwa mujibu wa Necta iliyotangaza matokeo hayo leo Ijumaa Januari 15, 2021 kupitia kwa katibu mtendaji wake, Dk Charles Msonde, watahiniwa 434,654 walifanya mtihani huo na 373, 958 wamefaulu katika madaraja mbalimbali. Dk Msonde amesema kwa matokeo hayo kiwango cha ufaulu kimeongezeka kwa asilimia 5.19.
Katika mtihani huo Paul Luziga wa sekondari ya Pandahill iliyoko Mbeya amekuwa mwanafunzi wa kwanza kitaifa.
Orodha ya walioongoza kitaifa kidato cha nne
1. Paul Luziga - Panda Hill
2. Justina Gerald - Canossa.
3. Timothy Segu - Mzumbe
4. Isaya Rukamya - Feza Boys
5. Ashraf Ally - Ilboru
6. Samson Mwakabage - Jude
7. Derick Mushi - Ilboru
8. Layla Atokwete - Canossa
9. Innocent Joseph - Mzumbe
10. Lunargrace Celestine - Canossa.
Shule bora kitaifa ni Peaceland Secondary School kutoka Mwanza
Mikoa 3 iliyofanya vizuri:
Dar es Salaam
Lindi
Arusha
Link ya matokeo kamili
https://matokeo.necta.go.tz/csee2020/csee.htm
=====
MATOKEO KIDATO CHA NNE 2020: NECTA YASEMA UFAULU UMEONGEZEKA KWA 5.19%
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Dkt. Charles Msonde, amesema Watahiniwa wa Shule 373,958 (85.84%) kati ya 434,654 waliofanya Mitihani ya Taifa ya Kidato cha Nne 2020 wamefaulu
Ameeleza kuwa, idadi hiyo ni ongezeko la asilimia 5.19 ikilinganishwa na matokeo ya Mitihani ya mwaka 2019 ambapo Watahiniwa waliofaulu walikuwa 340,914 (80.65%)
Amesema Wasichana 193, 672 sawa na 85.44% wamefaulu Mitihani hiyo huku Wavulana wakiwa 182,086 sawa na 86.27%. Watahiniwa wapatao 490,213 walisajiliwa kufanya Mitihani hiyo
Kwani ada ya hawa jamaa ipoje?
Duuu hii imekaa poa sanaaaMatokeo kwa SMS kwa njia ya simu ya mkononi
Piga *152*00#
Chagua namba 8.ELIMU
Chagua namba 2.NECTA
Chagua aina ya huduma 1.MATOKEO
Chagua aina ya Mtihani 2.CSEE
Andika namba ya Mtihani na Mwaka Mfano:S0334-0556-2019 Chagua aina ya Malipo (Gharama kwa kila SMS ni Tshs 100/=)Baada ya kukamilisha malipo utapokea ujumbe mfupi wa matokeo
Around 3.3 M registration fees inclusive. Uniforms and stationeries unalipa separately.
Sent using Jamii Forums mobile app
ila wew nimecheka lol.Inawezekana... sijui. najaribu kufikiria computer nasahihishaje essays; maths workout etc......
hata sijui ila naona shule za girls nyingi zimaibuka zinafanya vizuri ona hata hii inaitwa Bright future division one 90 DIVISION Two sita tuKwani ada ya hawa jamaa ipoje?