Kuwapa Mzimuni Sec mtihani sawa na St Francis Girls sec ni uonevu. Hawa watoto wa St Francis wote One ya 7. Mzee LIKUD bado unaamini kwenye St Kayumba? Nenda kaangalie Mzimuni Sec
Sisi tunaamini kwenye hatma baada ya makaratasi na sio kiingereza kukiongea coz kiingereza sio hela Wala pesa ya kununulia chai!!

We nenda kariakoo ongea kiingereza kama utapata Hela ya kula!!
Ondoka kwenye utumwa mkuu wa makaratasi hebu Rudi pale bustani ya Eden "itunzeni na kuipalilia bustani"

Leo muuza mchicha ana tamba mbele ya Graduate aliejazwa ujinga wa theory kichwani coz amerudi Eden Na kulifuata agizo la Mungu kuitunza na kuipalilia Bustani na kitaa anatamba sana!
 
Kulikoni siku hizi kwenye elimu ya nchi hii.?
Ni kwamba sisi zamani tulikuwa na uwezo mdogo wa kiakili ama la?
Au zamani elimu ilikuwa ngumu?
Au watoto wa siku hizi wana akili na uwezo mkubwa kuliko sie?
Au elimu na ufundishaji umekuwa bora sana kiasi kwamba Div. 1.7 zinaweza kutolewa na darasa zima...? Mpaka siku hizi shule za kata ambazo zinakuwaga na ufaulu wa kawaida nao wanatoa 1.7 hata mbili...?

Hii inamaanisha nini..? Sio husda...ila ina inafikirisha mno Div. 1.7 siku hizi zimekuwa kama njugu...VIPI ELIMU NA UPIMAJI ULIKUWA UPI...WA KIPINDI KILE DIV. 1.7 INAWEZEKANA KUWA MOJA TU TANZANIA NZIMA...AU HIVI SASA..?
 

Attachments

  • Screenshot_20250123-143324.png
    Screenshot_20250123-143324.png
    280.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20250123-143336.png
    Screenshot_20250123-143336.png
    282 KB · Views: 3
  • Screenshot_20250123-143510.png
    Screenshot_20250123-143510.png
    370.9 KB · Views: 2
Kijana wako amepata bashite au ? Au kapata marks za kuchukulia Cheti.
Mkuu,
Ni kama msiba vile 😔 Ila dogo niliwai mfanyia assessment mambo ya kawaida mfano..

Mathematics alikua kaikatia tamaa, history mambo ya msingi hayajui... Geo haipandi..Civics , kiswa, English, biology mahangaiko

Bora angetafuta C zake japo 3
 
Mkuu,
Ni kama msiba vile 😔 Ila dogo niliwai mfanyia assessment mambo ya kawaida mfano..

Mathematics alikua kaikatia tamaa, history mambo ya msingi hayajui... Geo haipandi..Civics , kiswa, English, biology mahangaiko

Bora angetafuta C zake japo 3
Mtoto wako hajafanya vizuri?
 
Back
Top Bottom