NECTA mnawaonea watoto

Kwanza niseme jambo moja... Watanzania hatuna kawaida ya kufuatilia mambo! Wewe leo anzisha jambo lolote kwa maslahi yako na watu watalichukua na kutokana na tabia hii wanasiasa wameshatufahamu!

Nini nataka kusema? Kimsingi hakukua na tatizo lolote kwenye GPA-- tatizo lilikuwa kwenye grading... A inaanzia wapi na inaishia wapi; hali kadhalika B, B+, C n.k! Watanzania tungekuwa makini, hili ndilo tungepaswa kulitupia macho na wala sio GPA! Ndalichako akatusoma... kwamba Watanzania wanaamini GPA inashusha kiwango cha elimu... najisikia aibu! Alichofanya ni kufuta GPA na watu tukatamani kumpelekea mashada ya maua kwa hongera! Na tangu afute mfumo wa GPA, kelele zimeanza kupungua kumbe tatizo la msingi lipo pale pale!

Nikirudi kwenye hoja yako; natamani sana kupata grading system iliyotumika. This's GPA thing is all bullshit-- itumike ama isitumike, it doesn't matter so long as the grading range ipo vizuri. Ikiwa grading wameirudisha ile ya awali, then well and good. And of you ask me, nina mashaka ikiwa wameirudisha kwa 100% otherwise, ile tofauti ya ufaulu wa -1.8% ingekuwa ni zaidi ya hapo! But who cares... watu tulikuwa tunaona GPA ndo tatizo na kwa kuwa ukiangalia matokeo there's nothing like GPA; Bingo!

Mkuu umeeleza.vizuri kabisa. Yani hapa ishu ni mazoea zaidi. Tatizo la msingi kuhusu GPA lilikuwa ishu ya mtu kupata maksi ndogo na kupewa daraja.kubwa. Mfano mtoto anapata 50 anapewa B wakati angeweza kupewa grade ya chini.

Kama ulivosema tungeweza.kubaki kwenye.GPA lakini tukabadilisha madaraja. Mathalani A ingeanzia 85- 100, B+ ikanzia let say 70-84, then C ikanzia 50-64, D ikawa 40-49 na E ikawa 30-39, na < 30 iwe F .

Katika mazingira kama hayo bado mtu angepata GPA kubwa kama amejituma na kweli anajua na sio vingivevyo. Leo tunaweza kuona division ni.nzuri lakini vipi kama madaraja yalishushwa tutajuaje?

Nadhani mazoe tu ndio yametupeleka kwenye.division. Hata hivyo nakubali kuwa ni rahisi kuulewa mfumo wa division zaidi kuliko GPA kwasababu watu wengi walilelewa huko ila kama.serikali ingeamua kuwekeza hapo bado ingekuwa poa tu.
 
Elimu ya kibongo haielewek kila cku wanaleta mapya. Ila hii ya sasa cyo hak kabisa . wanajiangalia wao tuu.
 
Ndo maana. Hata akili huna maana unaonekana wewe ni failure. Wewe ni division 5 . na hili taifa lilianza kupoteza uelekeo baada ya kuingiza kwenye system mijitu kama ninyi mijinga. Watu tunataka elimu bora na si bora elimu. Nampongeza sana mama ndalichako.sasa watoto watasoma nashukuru na mtoto wangu sasa itamkuta elimu hii. Hatokuwa mjinga kama wewe mleta hii thread. Maana unaonekana tu ni failure hata kiswahili hujui yule mchina anakushinda badala ya kusema nlikuwa namsikiliza wewe unasema nilikuwa nasikiliza kwani hicho nikifaa? Jinga kabisa wewe.nenda kasome uondoe ujinga wako kabla haujawa mpumbavu. Division 5 inapaswa warudie mitihani

Leo nilikua nasikiliza Katibu mkuu wa necta akitoa taarifa ya matokeo. Kilicho nishangaza ni kuona Grade ya F ambayo ambayo inawakilisha kufeli inaanzia 0-34 kwa Olevel. Nakumbuka enzi zetu F ilikua 0-19.
Binafsi naomba waziri uliangalie upya. Hizi alama ni kubwa sana kwa grade ya F .
 
Jifunike shuka ulale
 
Kuna watu wanaropokwa tuu. Kama waona rahis ingia shule uone. Ww ndyo mjinga unafata mkumbo tuu. Alafu kuwa na heshima na uheshimu comment za wengine
 
Ndo maana. Hata akili huna maana unaonekana wewe ni failure. Wewe ni division 5 . na hili taifa lilianza kupoteza uelekeo baada ya kuingiza kwenye system mijitu kama ninyi mijinga. Watu tunataka elimu bora na si bora elimu. Nampongeza sana mama ndalichako.sasa watoto watasoma nashukuru na mtoto wangu sasa itamkuta elimu hii. Hatokuwa mjinga kama wewe mleta hii thread. Maana unaonekana tu ni failure hata kiswahili hujui yule mchina anakushinda badala ya kusema nlikuwa namsikiliza wewe unasema nilikuwa nasikiliza kwani hicho nikifaa? Jinga kabisa wewe.nenda kasome uondoe ujinga wako kabla haujawa mpumbavu. Division 5 inapaswa warudie mitihani

Leo nilikua nasikiliza Katibu mkuu wa necta akitoa taarifa ya matokeo. Kilicho nishangaza ni kuona Grade ya F ambayo ambayo inawakilisha kufeli inaanzia 0-34 kwa Olevel. Nakumbuka enzi zetu F ilikua 0-19.
Binafsi naomba waziri uliangalie upya. Hizi alama ni kubwa sana kwa grade ya F .
 
Wewe ni DIVISION 5 FAILURE. JINGA KABISA... watu wanataka kuinua elimu wewe unataka wote wawe majinga kama wewe. Nyie ndo mmeharibu elimu na kupunguza kwenu viwango vya ufaulu na hatimaye sasa tuna mijitu kama wewe JF ambapo zaman isingekuwepo.

Lione sura kama barabara ya vumbi.:rolleyes:
 
Engineer2014 sawa watu wanasoma ili wafaulu ila kumbuka viwango vya kuelewa darasan vinatofautiana na ndio maana wakaweka madaraja ya kufaulu. Ila ni vema kweli F ingekuwa 0 - 20
 
hizo grading systems hazina tija sana kama range ya marks iko sawa kulingana na standard ya mitihani, japo mi napenda ile ya kwetu ya division. Pia kumjudge mtoto kwa mtihani mmoja sio haki, continuous assessments na practicles na field work zinge kua included kama enzi zetu
 
Yani A inaanza 75 na bado watoto wanafeli aisee kuna aja kupiga viboko hii mitoto ya digitali
Tangu mwanzo nilikuwa nafatilia huu mjadala ila kuna mapungufu niliyoyaona, hususani kwako.
Elimu ya Tanzania kwa sasa imebadilika sana, miaka uliyosoma wewe ni tofauti na wanaosoma sasa, hii yote inatokana na siasa ndani ya nchi yetu.
15 au hata 18 iliyopita kufaulu darasa la 7 ilikuwa unahitaji juhudi kubwa sana, ila Serikali ikajenga shule nyingi sana za Secondary kuanzia Form 1 mpaka IV. Matokeo yake ni kwamba wanafunzi wanafauli wanafaulu hovyo tu, yaani mwanao akifaulu darasa la 7 basi mtu unashangilia, kama kufaulu ndo akili basi hata wewe mwanao ukisikia kafaulu Standard 7 utafurahi.
Baada ya hapo tukaona kuna shida kubwa watu kufaulu kidato cha IV, hii yote inatokana na kuwaruhusu wengi kuingia Secondary pasipo kuwa na sifa stahiki, na endapo kukawa na shule ya Advance nyingi, basi tutarajie hawa wanafunzi kupelekewa Advanced kwa wingi.
Hata hao wanaopita Advance sio wote wanastahili ndo maana wakimaliza vyuo huko makazini ni shida tu. Mimi kuna mtu nilisoma nae Standard 7, akaja akasomea Computer Science chuo, kiukweli hata haifurahii hii koz, ameanza kuigusa Computer akiwa chuo. So utaona kwetu mfumo wa elimu ni mbovu sana. Na sio elimu tu kwa Tanzania ila michezo, uchumi, utalii n.k KILA KITU NI HOVYO.

Acha kulaumu hawa wanafunzi. Tujaribu kufikiria kwa mapana.
 
zmani pepa zilikua ngumu mkuu sio kama za leo.
 
Kupandisha kiwango cha elimu ni pamoja na kupandisja viwango vya ufaulu, si kuvishusha.
 
Back
Top Bottom