Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,044
- Thread starter
- #181
DuuuuHoja Kama hizi ndio hupelekea serikali ichakachue matokeo ili mseme watoto wanefaulu, mimi naipongeza serikali kwa matokeo haya, vinginevyo watoto wangemaliza Kidato Cha nne hawajui kusoma Wala kuandika, Kama unabisha chukua mtoto yeyote aliyefeli kidato Cha pili, mpe kipande Cha gazeti asome, nakuhakikishia atasoma Kama mtoto wa chekechea, jaribu utashangaa
Watoto wanaofeli form 2 asilimia 90 hawajui kusoma, wangejua wangeweza kufaulu Somo la kiswahili kwa angalau grade C, na kupata div IV