Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,044
Yaani hii nchi sijui tunaelekea wapi, kipindi cha nyuma matokeo ya kidato Cha pili na nne, watu walikuwa wanayafanyia analysis. Na serikali ilikuwa inawajibika aswaa kuboresha Elimu.
Sasa hivi kila mtu anawaza uchaguzi, matokeo ya kidato Cha pili yanatisha na kutia hasra, Cha kushangaza watu wamekaa kimya.
Ukichukua shule 20 za serikali unazozijua wewe ukalinganisha matokeo ya kidato Cha pili ya mwaka huu na uliopita utaona shule hizo zote ufahulu umeshuka. Cha kushangaza NECTA wanasema ufahuru umeongezeka how come.
Hali mbaya ndugu zangu, shule hazina walimu, madarasa hayatoshi, vitendea kazi hamna, kinachobaki ni NECTA kupika data eti performance imeongezeka.
Serikali ajiri walimu wa kutosha, jengeni madarasa ya kutosha, ongezeni vifaa vya kujifunza na kujifunzia.
Chini ni matokeo ya shule za serikali ya CCM.