Ally Thabit
Member
- Jul 12, 2015
- 5
- 10
Wananchi hao waliompiga Daktari walaaniwe walaaniwe walaaniwe, Sababu walizotoa Ni weak sana kwamba kwanini reception wampokee Mgonjwa na kuchukua pesa za kumuona daktari na matibabu na wanajua hawawezi kumtibu, kumbe jibu walikuwanalo wangewafata watu wa reception sio dr halafu sasa watu wa reception hawawezi jua kuwa hiyo case hapo isingewezekana. Sasa Daktari pia angejuaje kuwa hawezi kumtibu Mgonjwa wao bila ku order hiyo x-ray?