Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

Wanabodi,

Hili ni bandiko la kuhamasisha a mass mobilization ya kupata kundi kubwa la watu, kuunga mkono kwa dhati, juhudi kubwa zinazofanywa na Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Christian Makonda, katika vita mbalimbali, ikiwemo vita hii v kubwa ya dhidi ya madawa ya kulevya yanayowaharibu vijana wetu na kupoteza nguvu kazi muhimu ya taifa.

Makonda ameamua kulivalia njuga tatizo hili kwa kujitoa mhanga kuwaumbua kwa kuwataja wazi wazi na hadharani wabwia unga, wauza unga na mapapa wa mihadarati, jambo lililowaogopesha wauza unga, hivyo kuamua kumchafua Makonda kwa kila aina ya uongo.

Hivyo hili ni bandiko la wito kwa kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki wa dhati, wanaomjua Makonda kwa karibu na kwa ukweli, njooni tujitokeze kwa wingi, kumtetea Makonda tunayemfahamu dhidi ya uongo na uzushi unaozushwa na kusambazwa na mapapa wauza unga kupitia kwao na vibaraka wao na wapambe wao kumsingizia uongo. Paul Makonda kuwa ameghushi majina, amegushi vyeti, amejiunga na kusoma chuo kikuu kwa cheti cha kughushi na mpaka sasa anatumia majina ya kughushi!.

Tangu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam awaumbue wauza unga wakuu kwa kuwataja majina hadharani, live, tena bila kupepesa macho wala kumungunya maneno, mafisadi hawa, vibaraka wao, wapambe wao, makuwadi wa ufisadi na wale wote wasiolitakia mema taifa hili, wameanza kampeni chafu ya kumvunja moyo na kumkatisha tamaa Makonda kwa kumzushia kila aina ya uongo.

Sisi tunaounga mkono vita hii, tunamsisitiza akaze uzi na asitetereke, wala asipoteze muda wake wa thamani kujibu uongo wowote wa kwenye mitandao, yeye achape tuu kazi, na majibu ya tuhuma zinazoelekezwa kwake, hazina haja kabisa ya kujibiwa na Makonda mwenyewe bali ndugu zake na marafiki zake wenye nia njema na taifa hili, wanaweza kutusaidia kumjibia.

Maswali ni haya.
  1. Pauli Christian Makonda alizaliwa lini, wapi, na nani, alipewa jina gani alipozaliwa?.
  2. Majina matatu ya baba mzazi wa Paul Christian Makonda, yaani Mzee Makonda ( baba) ni nani?.
  3. Pauli Christian Makonda alianza shule Kolomije, Jee aliandikishwa kwa majina matatu ya yapi?.
  4. Alipohama shule ya Kolomije akiwa darasa la 4 na kuhamia Mwanza, alihama kwa majina gani ? .
  5. Alimaliza darasa la 7 mwka gani na matokeo yake?,
  6. Baada ya kumaliza la 7 alijiunga na sekondari gani mwaka gani na kwa majina gani?.
  7. Alimaliza sekondari lini na matokeo yake ni yapi, hivyo sasa ana cheti cha kuhitimu cha NECTA kina majina gani?.
  8. Alipomaliza alijiunga na Chuo cha uvuvi Nyegezi, jee alijiunga lini kwa kozi gani na kwa majina gani?.
  9. Baada ya Nyegezi alijiunga chuo cha uvuvi cha Mbegani mwaka gani, kozo gani na kwa majina gani? .
  10. Baada ya Mbegani alijiunga chuo kikuu cha ushirika, mwaka gani, kozi gani kwa majina gani?.
Majibu ya maswali hayo, yatawakata kabisa vilimilimi wale wote wanaotaka kumzushia kuwa Paul Christian Makonda, hakusoma sekondari, alipata Div. 0 na kwamba aliiba cheti cha mtu!.

Ndugu, Jamaa na Marafiki, Tujitokeze Kwa Wingi Kumtetea Makonda Kwenye Vita ya hii ya madawa ya kulevya dhidi ya mapapa wa madawa wanaotaka kumchafua Makonda wetu.

Paskali.
Update 30/08/2018
Hata hili sakata la Makontena, kuyatoza kodi ni juhudi za kutaka tuu kumkwamisha juhudi zake kuwapatia waalimu wa Dar es Salaam vifaa vya ofisi, na wakati huo huo, kuwakatisha tamaa Watanzania walioko nje ya nje kuisaidia Tanzania.

Natoa wito kwa Watanzania marafiki wa Makonda, tujitolee kumchangia hizo bilioni 1.2 za kodi, makontena hayo yalipiwe kodi, waalimu wetu wapatiwe samani zao, na sakata hili lipite.
Hivyo huu nao pia ni upepo tuu na utapita!.
P
Update 3 -20/02/2020
Leo February 20/02/2020 ni miaka 3 tangu bandiko hili lipande, nikisisitiza tumtete Makonda. Hata hili sakata la kunyima viza kuingia Marekani kwa kumsingizia mambo ya uongo, ni muendelezo tuu, hivyo wote wenye mapenzi mema na taifa letu, tusikubali, tujitokeze kumtetea kwa kupangua hoja kwa hoja, tuhuma zote zilizoelekezwa kwake na mabeberu hawa wa Marekani, kwa kuanza na kuipa hongera serikali yetu kuwapuuza na kutowajibu chochote huku Makonda akiendelea kupiga kazi.

P
MUUAJI HUYO HAKUNA KUMTETEA
 
MUUAJI HUYO HAKUNA KUMTETEA
Kama ni muuaji wa ukweli, hahitaji kutetewa na yeyote kwasababu karma ipo kuwashughulikia watu kama hawa, hivyo kama ni kweli huyu angekuwa muuaji, angeisha shughulikiwa kama wale wauaji wengine, walivyoshughulikiwa. (naomba msiniulize ni wauaji gani na wameshughulikiwaje).

Acha walipe kisasi chao hadi waridhike, uzuri nchi hii haifi leo wala kesho, ila wakumbuke nao kuna siku watatoka madarakani na kisasi hicho hicho watalipwa
 
Wanabodi, kwenye bandiko hili Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia... nilishauri
Wanabodi,

Hili ni bandiko la kuhamasisha a mass mobilization ya kupata kundi kubwa la watu, kuunga mkono kwa dhati, juhudi kubwa zinazofanywa na Mkuu Mhe. Paul Christian Makonda, katika vita mbalimbali,

Hivyo hili ni bandiko la wito kwa kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki wa dhati, wanaomjua Makonda kwa karibu na kwa ukweli, njooni tujitokeze kwa wingi, kumtetea Makonda tunayemfahamu dhidi ya uongo na uzushi unaozushwa na kusambazwa na mapapa wauza unga

Ndugu, Jamaa na Marafiki, Tujitokeze Kwa Wingi Kumtetea Makonda
Paskali.
Hata baada ya kuteuliwa kuwa Mwenezi wa CCM, Paul Makonda bado anapigwa vita na wasiomtakia mema, wasioitakia mema CCM na wasio itakia mema Tanzania.

Japo Tanzania ni nchi ya vyama vingi, na kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, mamlaka kuu ya nchi ni wananchi, kupitia katiba, serikali ya CCM ilifanya mabadiliko ya katiba kinyume cha katiba na kupoka ukuu wa mamlaka kuu ya wananchi, na kuikakabidhi kwa chama cha siasa, ambapo sasa mamlaka Kuu ya nchi ni chama tawala, CCM ndio imeshika hatamu kuongoza serikali, hivyo katika ukuu wa chama, CCM ndio kila kitu, hivyo Makonda kama msemaji wa CCM, kikao cha CCM kinaweza kumwagiza Rais wa JMT atekeleze jambo lolote lililoelekezwa kwenye ilani ya CCM, Katibu Mwenezi ndie msimamizi wa ilani ya CCM, ana mamlaka yote ya kumuamrisha hadi Rais wa JMT, atekeleze ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo Makonda yuko very right kumuamrisha Waziri Mkuu na kumpa ultimatum ya miezi 6 kumaliza migogoro yote ya ardhi ya nchi hii.

Na baada ya miezi 6, kama Waziri Mkuu, Majaliwa Kasim Majaliwa atashindwa kuitatua migogoro yote ya ardhi, atakuwa ni ameshindwa kazi, Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi, itakutana na kumuagiza Rais wa JMT, kumuondoa Waziri Mkuu, kwa kushindwa kazi na kumteua Waziri Mkuu mwingine mwenye uwezo.

Hata ikitokea Rais Samia ameshindwa kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM, chama kinaweza kumfuta uanachama na hivyo kupoteza urais!, hivyo Mwenezi wa CCM ni mtu mkubwa sana, kuliko serikali yote ya Tanzania, na hii ndio maana halisi ya Party Supremacy, CCM ndio imeshika hatamu za kuiongoza serikali ya Tanzania .

Hongera sana Mwenezi mpya wa CCM, Paul Makonda, kuiheshimisha CCM, endelea kutoa maagizo na ultimatum kwa viongozi wote kuhusiana na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, wewe ndiye msimamizi wa ilani ya CCM!.

Angalia ilani ya CCM imeelekeza nini kuhusu Bunge la JMT, toa maelekezo kwa Spika with ultimatums, Spika akishindwa kutekeleza Spika anaondolewa!, enzi za Spika Sitta, aliponea chupu chupu kuondolewa, kuna mtu mmoja very powerful ndani ya CCM aitwae "The King Maker" ndie alimuokoa Spika Sitta kwa kumpa maelekezo Mwenyekiti wa CCM, JK, na hii ndio salama yake!.

Makonda angalia ilani ya uchaguzi ya CCM inasema nini kuhusu mhimili wa Mahakama, toa maagizo with ultimatum kwa Jaji Mkuu atekeleze.

Angalia ilani ya uchaguzi inasema nini kuhusu majeshi, ulinzi na usalama, toa maelekezo with ultimatum kwa Amiri jeshi Mkuu na kwa Mkuu wa majeshi, IGP , etc.

Ila kwa nafasi ambazo sio za kichama kama Jaji Mkuu, Mkuu wa Majeshi, CAG, Mwenyekiti wa NEC, Msajili wa Vyama vya Siasa, Wakuu wa vyombo vya Ulinzi, Mwenyekiti wa Tume ya Utawala Bora na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma ambao ni wateule wa rais, Paul Makonda anaweza kuwapa maelekezo bila ultimatums kwasababu hawa chama hakiwezi kuwafanya chochote, na badala yake, chama kitampa maelekezo mamlaka yake ya uteuzi ambaye ni Rais wa JMT, awaondoe!.

Kiukweli ninamkubali sana Paul Makonda!, Tangu nilipoanza kumkubali Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
He has never let me down!. Tena niliwahi kushauri Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... ushauri huu still stands, kwasababu miaka hii 4 ya Mama ni kumalizia awamu ya Magufuli, awamu ya baada ya Magufuli inaanza 2025, ila Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke hivyo you never know with politics, everything is possible!.

Paul Makonda kanyaga mwendo, chapa kazi, kazi iendelee!.

Umekuwa chawa tofauti yako na Mwijaku au Babalevo ni ipi ndo mana hii nchi wasomi na wasiosoma wote uwezo wao wa kufikiri unafanana

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
Huyu ndo Paschal njaa sasa pro max
 
Umekuwa chawa tofauti yako na Mwijaku au Babalevo ni ipi ndo mana hii nchi wasomi na wasiosoma wote uwezo wao wa kufikiri unafanana

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Kuna wakati najiuliza Pascal kapatwa na nini? Au tuwaulize walio karibu yake jee huyu mtu yuko stressed na maisha au familia? Au amegeuka kuwa mlevi konk hadi kuharibu akili yake?
Maana siku hizi akiandika sioni tofauti yake na watu kama Lucas mwashambwa kwa nini?
Huu ni kama msiba kwa JF hasa tukikumbuka tulikotoka naye zaidi ya miaka 17 iliyopita.
Tumuombee uponyaji maana tunapoteza jembe hivihivi
 
Wanabodi, kwenye bandiko hili Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia... nilishauri

Hata baada ya kuteuliwa kuwa Mwenezi wa CCM, Paul Makonda bado anapigwa vita na wasiomtakia mema, wasioitakia mema CCM na wasio itakia mema Tanzania.

Japo Tanzania ni nchi ya vyama vingi, na kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, mamlaka kuu ya nchi ni wananchi, kupitia katiba, serikali ya CCM ilifanya mabadiliko ya katiba kinyume cha katiba na kupoka ukuu wa mamlaka kuu ya wananchi, na kuikakabidhi kwa chama cha siasa, ambapo sasa mamlaka Kuu ya nchi ni chama tawala, CCM ndio imeshika hatamu kuongoza serikali, hivyo katika ukuu wa chama, CCM ndio kila kitu, hivyo Makonda kama msemaji wa CCM, kikao cha CCM kinaweza kumwagiza Rais wa JMT atekeleze jambo lolote lililoelekezwa kwenye ilani ya CCM, Katibu Mwenezi ndie msimamizi wa ilani ya CCM, ana mamlaka yote ya kumuamrisha hadi Rais wa JMT, atekeleze ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo Makonda yuko very right kumuamrisha Waziri Mkuu na kumpa ultimatum ya miezi 6 kumaliza migogoro yote ya ardhi ya nchi hii.

Na baada ya miezi 6, kama Waziri Mkuu, Majaliwa Kasim Majaliwa atashindwa kuitatua migogoro yote ya ardhi, atakuwa ni ameshindwa kazi, Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi, itakutana na kumuagiza Rais wa JMT, kumuondoa Waziri Mkuu, kwa kushindwa kazi na kumteua Waziri Mkuu mwingine mwenye uwezo.

Hata ikitokea Rais Samia ameshindwa kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM, chama kinaweza kumfuta uanachama na hivyo kupoteza urais!, hivyo Mwenezi wa CCM ni mtu mkubwa sana, kuliko serikali yote ya Tanzania, na hii ndio maana halisi ya Party Supremacy, CCM ndio imeshika hatamu za kuiongoza serikali ya Tanzania .

Hongera sana Mwenezi mpya wa CCM, Paul Makonda, kuiheshimisha CCM, endelea kutoa maagizo na ultimatum kwa viongozi wote kuhusiana na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, wewe ndiye msimamizi wa ilani ya CCM!.

Angalia ilani ya CCM imeelekeza nini kuhusu Bunge la JMT, toa maelekezo kwa Spika with ultimatums, Spika akishindwa kutekeleza Spika anaondolewa!, enzi za Spika Sitta, aliponea chupu chupu kuondolewa, kuna mtu mmoja very powerful ndani ya CCM aitwae "The King Maker" ndie alimuokoa Spika Sitta kwa kumpa maelekezo Mwenyekiti wa CCM, JK, na hii ndio salama yake!.

Makonda angalia ilani ya uchaguzi ya CCM inasema nini kuhusu mhimili wa Mahakama, toa maagizo with ultimatum kwa Jaji Mkuu atekeleze.

Angalia ilani ya uchaguzi inasema nini kuhusu majeshi, ulinzi na usalama, toa maelekezo with ultimatum kwa Amiri jeshi Mkuu na kwa Mkuu wa majeshi, IGP , etc.

Ila kwa nafasi ambazo sio za kichama kama Jaji Mkuu, Mkuu wa Majeshi, CAG, Mwenyekiti wa NEC, Msajili wa Vyama vya Siasa, Wakuu wa vyombo vya Ulinzi, Mwenyekiti wa Tume ya Utawala Bora na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma ambao ni wateule wa rais, Paul Makonda anaweza kuwapa maelekezo bila ultimatums kwasababu hawa chama hakiwezi kuwafanya chochote, na badala yake, chama kitampa maelekezo mamlaka yake ya uteuzi ambaye ni Rais wa JMT, awaondoe!.

Kiukweli ninamkubali sana Paul Makonda!, Tangu nilipoanza kumkubali Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
He has never let me down!. Tena niliwahi kushauri Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... ushauri huu still stands, kwasababu miaka hii 4 ya Mama ni kumalizia awamu ya Magufuli, awamu ya baada ya Magufuli inaanza 2025, ila Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke hivyo you never know with politics, everything is possible!.

Paul Makonda kanyaga mwendo, chapa kazi, kazi iendelee!.
Paskali.
Mtu yeyote mwenye kuongea logic huwa anatafsiriwa vibaya na wale wa upande mwingine wa shilingi !

Hii ni kwamba hata yeye huwa anareact vivi hivi au hata zaidi ya hivi kama ile Logic iliyosemwa na watu wengine itakuwa inakwenda tofauti na matakwa yake !!
Double standard ndio maisha yetu !!
 
Wanabodi,

Hivyo hili ni bandiko la wito kwa kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki wa dhati, wanaomjua Makonda kwa karibu na kwa ukweli, njooni tujitokeze kwa wingi, kumtetea Makonda tunayemfahamu dhidi ya uongo na uzushi unaozushwa na kusambazwa na mapapa wauza unga kupitia kwao na vibaraka wao na wapambe wao kumsingizia uongo. Paul Makonda kuwa
Kuna zengwe amepigwa kuondolewa uenezi na kutupwa RC Arusha, tujitokeze aletwe Dar!.
Nampongeza huyu Mwamba, Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha , ambao ni Geneva ya Africa.

Ila kwa maoni yangu, hii teua, tengua, hamish, na tumbua ya Rais Samia, is not healthy at all!, it's a sign of weakness mahali!.

My honest opinion, CCM haina mtu mwingine yeyote ambaye ni the best kwenye uenezi zaidi ya Makonda!.
Ili Rais Samia afanikiwe, asiwasikilize sana wahafidhina wa CCM, sometimes
wanamuingiza chaka!, kama hili la kumuondoa Makonda kwenye uenezi na kumpelekea RChuga , kiukweli kabisa hapa wahafidhina wa CCM, wamemuingiza Mama chaka.

Japo siungi mkono hizi teua leo badilisha kesho, Waenezi 5, ndani ya miaka 5!
1. Polepole
2. Shaka
3. Mjema
4. Makonda
5. The upcoming one!.

Hi sio picha nzuri!, ila nasisitiza kuna tatizo kidogo mahali Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda tuendelee kumpa muda, ata stabilize.

Hongera Paul Makonda kurudishiwa u RC, very soon itathibitika huyu aliyepo kwenye u RC wa Mkoa wetu hawezi!, soon utarudishwa RC DSM, jiji litanyooka!.
P
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la kuhamasisha a mass mobilization ya kupata kundi kubwa la watu, kuunga mkono kwa dhati, juhudi kubwa zinazofanywa na Mkuu wetu wa mkoa Mhe. Paul Christian Makonda, katika vita mbalimbali .

Hivyo hili ni bandiko la wito kwa kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki wa dhati, wanaomjua Makonda kwa karibu na kwa ukweli, njooni tujitokeze kwa wingi, kumtetea Makonda tunayemfahamu dhidi ya uongo na uzushi unaozushwa na kusambazwa kupitia kwao na vibaraka wao na wapambe wao kumsingizia uongo.

Sisi tunaounga mkono tunamsisitiza akaze uzi na asitetereke, wala asipoteze muda wake wa thamani kujibu uongo wowote wa kwenye mitandao, yeye achape tuu kazi, na majibu ya tuhuma zinazoelekezwa kwake, hazina haja kabisa ya kujibiwa na Makonda mwenyewe bali ndugu zake na marafiki zake wenye nia njema na taifa hili, wanaweza kutusaidia kumjibia.

Ndugu, Jamaa na Marafiki, Tujitokeze Kwa Wingi Kumtetea Makonda Kwenye Vita ya hii ya madawa ya kulevya dhidi ya mapapa wa madawa wanaotaka kumchafua Makonda wetu.

Paskali.
Update 30/08/2018
Hata hili sakata la Makontena, kuyatoza kodi ni juhudi za kutaka tuu kumkwamisha juhudi zake kuwapatia waalimu wa Dar es Salaam vifaa vya ofisi, na wakati huo huo, kuwakatisha tamaa Watanzania walioko nje ya nje kuisaidia Tanzania.

Natoa wito kwa Watanzania marafiki wa Makonda, tujitolee kumchangia hizo bilioni 1.2 za kodi, makontena hayo yalipiwe kodi, waalimu wetu wapatiwe samani zao, na sakata hili lipite.
Hivyo huu nao pia ni upepo tuu na utapita!.
P
Update 3 -20/02/2020
Leo February 20/02/2020 ni miaka 3 tangu bandiko hili lipande, nikisisitiza tumtete Makonda. Hata hili sakata la kunyima viza kuingia Marekani kwa kumsingizia mambo ya uongo, ni muendelezo tuu, hivyo wote wenye mapenzi mema na taifa letu, tusikubali, tujitokeze kumtetea kwa kupangua hoja kwa hoja, tuhuma zote zilizoelekezwa kwake na mabeberu hawa wa Marekani, kwa kuanza na kuipa hongera serikali yetu kuwapuuza na kutowajibu chochote huku Makonda akiendelea kupiga kazi.

P
hatukumjibia, jana amejitokeza mwenyewe kujijibia
"Hakuna kituo chochote kilichowahi kuvamiwa chini ya uongozi wangu. Clouds ilikuwa ni familia yangu. Walinzi niliokuwa nao wa nyumbani kwangu, ndo walinzi ambao hata Ruge mwenyewe akikwama ndo walikuwa wanawapigia simu"

"Pale tulikuwa tunaenda kufanya editing, tunatoka tunarudi. Sasa swali kubwa ambalo natamani wandishi wa habari mngefanyia kazi. Moja, mbona hamjawahi kudai clip za mule ndani nilienda kufanya nini? Kwanini mliamini tu ya kwamba mtu ameonekana kuingia pale mlangoni alafu ndo ikawa chanzo cha uvamizi?

"Na cha pili hata yule mlinzi mwenyewe aliyekuwepo, kabonyeza ile button comfortable kabisa. Nilikuwa naenda mchana nilikuwa naenda usiku so many times. Ingekuwa ni investigation proper, wangeomba okay fine, hivi kwa mwezi wote mzima Makonda alikuja mara ngapi hapa?"

" Ni chombo ambacho hakijawahi kuvamiwa na mimi. Infact mimi nimetumika zaidi na Clouds, kuliko nilivyoitumia Clouds. Can you imagine ilikuwa imefika hatua wanaitwa na TCRA mimi na-show up, Ruge anapiga simu Brother eeh jamaa wamekuja TCRA, tuna kimeo hapa. Wananiambia niko wapi nawaambia tulia nakuja"
Mkuu Mindyou ,asante kwa bandiko hili Paul Makonda: Sijawahi kuvamia Clouds Media. Nimetumika sana na Clouds, Ruge alikuwa ananipigia sana simu
Naunga mkono hoja ya Makonda na niliwahi kusema humu mengi kunhusu mtu huyu na miongoni mwake ni haya 。。。
P
 
Makonda ameamua kulivalia njuga tatizo hili kwa kujitoa mhanga kuwaumbua kwa kuwataja wazi wazi na hadharani wabwia unga, wauza unga na mapapa wa mihadarati, jambo lililowaogopesha wauza unga, hivyo kuamua kumchafua Makonda kwa kila aina ya uongo.
Alitakiwa majina kupeleka kwa Mkuu wa taasisi ya kupambana na madawa ya kulevya!
Kutaja watu tena wengine kuwapakazia sio njema kabisa!
Kupiga mkwanja kwao hii imekaaje
 
Vipi kuhusu hii barua aliulizwa lolote kuhusu yaliyoandikwa humu?

Au waandishi walikuwa washakabidhiwa bahasha za khaki wakaamua waulize maswali mepesi kwa njia nyepesi.
images (13).jpeg
 
Ile Report kajidhalirisha kwa watu wenye akili japo katumia vyombo kuitangaza na zaid vyombo hivyo ni vya wachumia tumbo sikuona hoja ya msingi aliyoijibu kwa waliouliza maswali ya msingi!!. Kilikuwa kama kipindi cha club la leo show!!
 
Kuna zengwe amepigwa kuondolewa uenezi na kutupwa RC Arusha, tujitokeze aletwe Dar!.
Nampongeza huyu Mwamba, Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha , ambao ni Geneva ya Africa.

Ila kwa maoni yangu, hii teua, tengua, hamish, na tumbua ya Rais Samia, is not healthy at all!, it's a sign of weakness mahali!.

My honest opinion, CCM haina mtu mwingine yeyote ambaye ni the best kwenye uenezi zaidi ya Makonda!.
Ili Rais Samia afanikiwe, asiwasikilize sana wahafidhina wa CCM, sometimes
wanamuingiza chaka!, kama hili la kumuondoa Makonda kwenye uenezi na kumpelekea RChuga , kiukweli kabisa hapa wahafidhina wa CCM, wamemuingiza Mama chaka.

Japo siungi mkono hizi teua leo badilisha kesho, Waenezi 5, ndani ya miaka 5!
1. Polepole
2. Shaka
3. Mjema
4. Makonda
5. The upcoming one!.

Hi sio picha nzuri!, ila nasisitiza kuna tatizo kidogo mahali Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda tuendelee kumpa muda, ata stabilize.

Hongera Paul Makonda kurudishiwa u RC, very soon itathibitika huyu aliyepo kwenye u RC wa Mkoa wetu hawezi!, soon utarudishwa RC DSM, jiji litanyooka!.
P
Mkuu kuna muda aisee unavuaa nguo kabisa, au kweli unanjaa?
 
Sukuma gang.
  1. Sukuma gang is not something real,its just a fictitious group that doesnt exist in reality。
  2. Sio kila Msukuma ni Msukuma kweli, kuna wengi wanazungumza lugha ya Kisukuma na kujifanya ni Wasukuma,but they are not Sukumas, they are imposters
  3. Sio kila Msukuma ni Sukuma gang。
P
 
Back
Top Bottom