Ndoto zangu za kuoa awamu hii ya tano zimeyeyuka

Huna nia ya kuoa wewe....maana Kuoa hakuhitaji 70,000.00 bali kinachohitajika ni wewe mtarajiwa wako kula kiapo cha ndoa mbele ya wachubgaji masheikh au viongozi wa kimila huku mashahidi na ndugu jamaa marafiki wakishuhudia
 
Michango si ndo wingi wa zawadi za kuanzia maisha
 
Wamekariri, kuoa sio lazima harusi(sherehe) kinachotakiwa ni ndoa kufungwa kwa kufuata taratibu mliyojiwekea tu kama ni kanisan, msikitin, kiserikal ama kiimla. So sherehe sio lazima
hawajielewi hao wenye mentality za sherehe
 
Habari zenu wadau,

Nilikuwa na hamu sana kuja kuoa pale ifikapo awamu ya tano, Lakini kutokana na hali alisi ya maisha ilivyo kiukweli naona nisogeze wazo langu mbele kidogo.

Nitafikiria tena wazo hili ifikapo 2026. Awamu hii nikikupa kadi ya 70,000 utanichangia?

644441c183219f9b297a259cea683f41.jpg
Mbona kama vile mmeona tiyari

Ila mwanaume siku zote haogopi matumizi sema we nahisi ni mroho!
 
Back
Top Bottom