mkokamoto
JF-Expert Member
- Jan 2, 2024
- 659
- 917
Ongeza maombi imani yako ni ndogo!!👿Mimi ndyo nilikimbia kwa kujikuta napaa angani bila kutarajia
Ongeza maombi imani yako ni ndogo!!👿Mimi ndyo nilikimbia kwa kujikuta napaa angani bila kutarajia
Kitendo cha kuona umepaa angani hio inamaanisha umevuka level uliokuepo mwanzo umeenda level ya juu.Niliona kama nipo sehemu ambayo sio mazingira yangu ya kila siku, chini niliona mandhari ya kijani na magorofa marefu sana.
Usije tu ukaenda kwa Mwamposa na kuanza kutoa ushuhuda kuwa tayari ushafika mbinguni maana huwa hamkawii! 😡Nilifika sehemu nikaona nipo nchi au ulimwengu mwingine kabisa
Asante kwa ushauri na ufafanuzi huo na nimegundua napaswa kuimarisha imani yangu pamoja na kuepuka kukosana na watu bila sababu.Kitendo cha kuona umepaa angani hio inamaanisha umevuka level uliokuepo mwanzo umeenda level ya juu.
Na ile level uliokua mwanzo, maadui zako walikua wanakumudu ila sasa upo level ya juu sio level zao (hawakuwezi).
Kwa tukio lililo mbele yako watachemka ila wanaweza wasikate tamaa wakaangalia wamejikwaa wapi wakaenda kujirekebisha na kukurudia tena siku nyingine... Sasa ili uendelee kua imara inabidi uimarishe imani yako muda wote.
Yani Mimi na akili zangu zote niende kawe kutapeliwa nikiona?Usije tu ukaenda kwa Mwamposa na kuanza kutoa ushuhuda kuwa ushafika mbinguni maana huwa hamkawii! 😡
Naona kama vile harakati ushazianza tayari mkuu 😂Yani Mimi na akili zangu zote niende kawe kutapeliwa nikiona?
Mimi huku nilipo ni mwaka sasa sijawahi hata kuona kiazi kwa macho.Punguza viazi kwenye daku na futari yako, ipo siku itakuua.
Kama ni hivyo sina budi kukubaliana na hali yoyote iliyo mbele yangu kwani sote ni wa Mungu na kwake tutarejeaAnyway, kuna mjomba wangu nae alipata ndoto kama hiyo, hakumaliza wiki tukamuimbia parapanda na mashada juu.
Kumbe upo mpaka kwenye unajimu 😁Utashinda vita ijayo itakayo tokana na mtu wa karibu
Kuna mmama alitoa ushuhuda kuwa alipeleka gesi yake ili ikaombewe, unaambiwa huu ni mwaka wa tano ile gesi haiishi anapikia hadi makande 🔥Usije tu ukaenda kwa Mwamposa na kuanza kutoa ushuhuda kuwa ushafika mbinguni maana huwa hamkawii! 😡
Mkuu mimi siwezi kwenda kule, kwanza yule jamaa sipendi hata kuona picha yake tuNaona kama vile harakati ushazianza tayari mkuu 😂
Ulivyosema ni kweli kwamba napaswa kuongeza ibada na maombi kwasababu ni muda sasa nipo mbali na maswala ya kiimani. Ila kama kweli kuna maadui wananiwinda basi naamini hawataweza Mungu yupo.kama ulivyoandika ni Kweli ipo hivi Roho zinaweza chukua sura ya mtu wa karbu au usyemjua hivyo una vita ya kichawi, unayo au inakujia hivyo unapaswa kuwa karbu na Mungu ndio maana ulifika mawinguni na hapo tafuta msaada wa maombi kwa watumishi wa kweli wanao Tumia Jina la Yesu vizuri , Maana Kuna uweze kano ukaondoka kwenye earth 🌍 ndio maana ulifika mawinguni ni suala la muda jitahid kuzingatia.
Kama ni kweli ulipaa angani mpaka ukafika kilele cha juu mbona hujalowa maana usiku mzima mvua ilikuwa inanyeshaUsiku wa leo nimeota ndoto ya ajabu sana, nimeota kuna mtu ninaye mfahamu ananikimbiza na kutaka kunidhuru.
Nikaanza kumkemea kwa maombi huku namnyooshea kidole, ghafla nikaanza kupaa angani mpaka nikafika kilele cha juu mawinguni, chini nikawa naona mazingira tofauti kabisa ambayo sijawahi kuyaona.
Wajuzi wa mambo ya ndoto naombeni mnijuze ndoto hii itakuwa na maana au tafsiri gani kwasababu imenitisha sana kwakweli.
Kwanza mshukuru sana Mungu kwa hiyo ndoto.Usiku wa leo nimeota ndoto ya ajabu sana, nimeota kuna mtu ninaye mfahamu ananikimbiza na kutaka kunidhuru.
Nikaanza kumkemea kwa maombi huku namnyooshea kidole, ghafla nikaanza kupaa angani mpaka nikafika kilele cha juu mawinguni, chini nikawa naona mazingira tofauti kabisa ambayo sijawahi kuyaona.
Wajuzi wa mambo ya ndoto naombeni mnijuze ndoto hii itakuwa na maana au tafsiri gani kwasababu imenitisha sana
Ulitaka niwe sehemu Moja tu😎Kumbe upo mpaka kwenye unajimu 😁
Japo tafsiri ni nyingi na tofauti lakini nimegundua ndoto hii sio ya bure, kama ina matokeo yaliyo negative basi nipo katika wakati mbaya, ila kama ni positive basi kweli Mungu anilinde na kuniongoza wakati wote.Kwanza mshukuru sana Mungu kwa hiyo ndoto.
Adui yako au mshindani wako hatakuweza.
Watafanya wawezalo kukuangusha lakini utawashinda.
Kupaa kwako ni kninuliwa juu yao katika ulimwengu wa roho.
Muombe Mungu aitimize hiyo ndoto katika ulimwengu wa damu na nyama.
Sijawahi nilikua naenjoy tuHujawahi kujua zina maana au tafsiri gani?