Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,483
- 1,510
Kuna namna ajitahidi kusali sana
Ahsante sana mkuu.Ngoja tuiangalie kwa vipengele:
1. Ndoto ya kufanya mapenzi na mtu usiyemkumbuka
Hii mara nyingi huashiria:
- Uunganisho wa nguvu za kiroho au kihisia – huenda ni ishara ya miungano ya ndani (inner unions), au roho ya mtu mwingine kujitokeza katika ulimwengu wa ndoto.
- Mapenzi ya kiroho (spiritual intimacy) – hasa kama mtu huyo hawezi kumkumbuka, inaweza kuwa ni ishara ya kuunganishwa na “spirit” au entity fulani ya kike (hii mara nyingi huitwa succubus au jin kike katika baadhi ya mila).
- Wakati mwingine, ni ishara ya mihemko au hitaji fulani lililofichwa katika maisha halisi.
2. Kumwaga shahawa katika ndoto hadi boksa kulowa kweli
Hili linaeleweka zaidi kama nocturnal emission (ndoto za manii/ndoto za mapenzi za usiku). Ni jambo la kawaida kwa wanaume, hasa wanapokuwa na msisimko wa kimwili au kiakili hata pasipo kujichua.
Lakini pale linapojifunga na vipengele vya kiroho (na kwa muda kama saa 9 alfajiri), linaweza kuashiria kuwa:
- Kuna nguvu au entity iliyokuja kuchukua nguvu yake ya uzazi (sexual/creative energy).
- Ameathiriwa kiroho – yaani ni ndoto ya mapenzi ya kichawi au spiritual attack.
- Anaweza kuwa amefungwa kwa njia ya mapenzi ya ndoto (spiritual spouse) – ambapo mtu huwa anaota mapenzi mara kwa mara, na hilo huathiri maisha ya ndoa, mahusiano, au mafanikio kwa jumla.
3. Damu halisi kitandani isiyoeleweka chanzo chake
Hii ni sehemu nzito zaidi na isiyo ya kawaida:
- Ikiwa si damu ya ndoto, na si ya mwilini mwake, basi inaashiria muingiliano wa kiroho wa kina.
- Inaweza kuwa ni ishara ya agano, au kwamba roho ya yule mwanamke aliyekuwa kwenye ndoto alikuwa bikra kiroho, na sasa wamefunga agano la damu.
- Kwa mila na mitazamo ya kiroho, hii ni real-time manifestation ya ndoto – ambapo mambo ya rohoni yanajitokeza moja kwa moja kwenye uhalisia.
Hitimisho na Ushauri wa Kiroho
Ndoto hii inaonyesha uwezekano wa:
Mambo ya kufanya:
- Kufungwa na roho ya mapenzi ya kichawi (spiritual wife).
- Kuibiwa nguvu za uume au uhai (sexual energy draining).
- Kuingia kwenye agano la damu bila kujua, ambalo linaweza kuathiri maisha yake ya kawaida.
Kama atarudia ndoto za aina hii au kuona matukio mengine ya ajabu, ni vizuri kabisa kuanza utaratibu wa kinga ya kiroho wa kila siku.
- Usafi wa kiroho (spiritual cleansing): Aoge maji ya bahari au maji yaliyosomwa dua/verses takatifu kama Ayatul Kursiy, Al-Falaq, Al-Nas, Al-Ikhlas.
- Kata maagano: Aseme kwa sauti (kama dua):
"Nakata na kuvunja kila agano lililofanyika katika ndoto hii kwa jina la Mungu aliye Hai. Sitambui, sikubali, wala sichukui chochote kutoka kwa roho yoyote ya mapenzi, na najikomboa kabisa na muunganiko huo."- Lala baada ya kusoma Ayatul Kursiy na Surah 3 za mwisho – kila usiku, kwa muda wa siku 7 mfululizo.
- Tumia udi kama Sandalwood au Olibanum (Udi wa mti mweupe) ili kuondoa athari za kiroho kwenye chumba.
sio utamwambia ndo umeshaambiwa!Amina, nitamwambia hivo.
wacha mambo yako wewe kapime ujue damu imetokea wapi...😄 Mbona unanipandia mkuu? Mimi ni mbunge tu, sina mamlaka juu ya mwananchi.
Jamaa anatuona watoooto.. 😄wacha mambo yako wewe kapime ujue damu imetokea wapi...
Ndoto yako ni ya kuvutia sana na inaweza kuwa na maana nyingi za kisaikolojia, kiroho, au hata ya mwili. Hebu tuchambue kwa makini:Habari za muda huu mwana JF?
Natumaini siku yako iko poa kabisa.
Leo kuna ndoto umempata rafiki yangu ambaye mara kadhaa huwa akinieleza kuhusu baadhi ya ndoto zake ambazo huwa zinamshinda kuzielewa.
Iko hivi:
Leo usiku muda wa saa 9 usiku kuelekea saa 10, ameota ndoto akifanya mapenzi na mwanamke ambaye hamkumbuki, na akifika mshindo na kumwaga kama avo-sex kawaida. Baadaye akashtuka kutoka usingizini na akakuta boksa imelowa(Shahawa).
Baada ya hapo akaenda bafuni kujisafisha na kubadili boksa. Anarudi kitandani, mara anaona damu kwenye godoro ikionekana kama alikuwa aki-sex na msichana bikra. Kajikagua mwili mzima kama kuna mahali damu hiyo aone labda imetoka mwilini mwake lakini hakuna. Karudi kwenye boksa kukagua labda inadamu, hakuna.
Boksa imelowa shahawa halisi kabisa. Kajaribu kujichua aone labda imetoka kwenye uume, wapi! Katoa manii za kawaida bila tatizo.
Kiukweli, ndoto hii pia mimi imenishinda. Kumbuka kuwa hiyo ya damu ni halisi, sio damu ya kwenye ndoto.
Anayeweza kuelewa hii imekaaje, atufungue akili kidogo, kabla hajavuka hatua zingine. Maana hii ni ajabu sana.
Hili lamuhusu yeyeJamaa anatuona watoooto.. 😄
Hii kitu mbona ni kama wewe mwenyewe?????? Unazuguuuuuuuka, maelezo marefuuuuu!!!! Kwanza unaishi mitaa gani??? Tuanzie hapo.Habari za muda huu mwana JF?
Natumaini siku yako iko poa kabisa.
Leo kuna ndoto umempata rafiki yangu ambaye mara kadhaa huwa akinieleza kuhusu baadhi ya ndoto zake ambazo huwa zinamshinda kuzielewa.
Iko hivi:
Leo usiku muda wa saa 9 usiku kuelekea saa 10, ameota ndoto akifanya mapenzi na mwanamke ambaye hamkumbuki, na akifika mshindo na kumwaga kama avo-sex kawaida. Baadaye akashtuka kutoka usingizini na akakuta boksa imelowa(Shahawa).
Baada ya hapo akaenda bafuni kujisafisha na kubadili boksa. Anarudi kitandani, mara anaona damu kwenye godoro ikionekana kama alikuwa aki-sex na msichana bikra. Kajikagua mwili mzima kama kuna mahali damu hiyo aone labda imetoka mwilini mwake lakini hakuna. Karudi kwenye boksa kukagua labda inadamu, hakuna.
Boksa imelowa shahawa halisi kabisa. Kajaribu kujichua aone labda imetoka kwenye uume, wapi! Katoa manii za kawaida bila tatizo.
Kiukweli, ndoto hii pia mimi imenishinda. Kumbuka kuwa hiyo ya damu ni halisi, sio damu ya kwenye ndoto.
Anayeweza kuelewa hii imekaaje, atufungue akili kidogo, kabla hajavuka hatua zingine. Maana hii ni ajabu sana.
Hili suala ni lako mkuuBefore sijaja hapa, yote hayo nimemuuliza mkuu, kwa hiyo usidhani kama hivo mkuu. 😄
Ahsante sana mkuu.Hii kitu mbona ni kama wewe mwenyewe?????? Unazuguuuuuuuka, maelezo marefuuuuu!!!! Kwanza unaishi mitaa gani??? Tuanzie hapo.
Bas mkuu una upendo wa ajabu sana maana unavyoi feel hii matter utasema ni wewe vile 😂Mkuu, mnataka nimprint huyo jamaa, au nimshoot video? 😄
Huna yule rafiki mnaeendana ujinga?Bas mkuu una upendo wa ajabu sana maana unavyoi feel hii matter utasema ni wewe vile 😂