Mzibua Vyoo
Senior Member
- Nov 8, 2023
- 102
- 231
Dah!, msemo wa "kila jambo na wakati wake" unatuumiza wanaume kwenye suala la umri. Ukiwa kijana unaringa na kutembea wake za watu. Ukishakuwa umri fulani wa udingi, na wewe unaanza kuchapiwa na vijana.