Sikuungi mkono, lakini kuna minyukano ya chini chini ndani ya CHADEMA.
WASIPOANGALIA WATAJUTA.
Kadi yako kwenye chama ni namba ngapi?
Tabiri zenu ni nzuri kwani zinasababisha chademaiendelee kushaini kwenye vyombo vya habari hivyo kuzidi kuwa na mvuto
Angalia yanayotokea ndugu. mimi sina chama.Kadi yako kwenye chama ni namba ngapi?