Ndege ya Lowassa inayopaa, na abiria walioachwa wameduwaa!

bibie nilikuwa ninaijibu hii comment, ambayo ndiyo iliyoanza kunitukana, sasa what is your problem?

My problem ni wewe kuwaambia wana forum hapa kuwa wana elimu ya form four za kulipia? Hii ni chini ya kiwango chako.

Another problem ni wewe kudai kuwa umesoma na wengine hapa wewe unawajua kuwa hawakusoma.....that's a huge problem.

Otherwise, sina problem yoyote zaidi na wewe.
 
Hapna mkuu bibie!, sina muda huo wa kupoteza unless una hoja muhimu zaidi ya hii ya elimu, jamaa amenuliza kama nina ubavu, nikamwambia asome topic kwanza, akaleta maneno ya elimu, nikaijibu pia ipasavyo, sasa what is your beef!

Ameniuliza kama nimeenda kanisani Mt.Vernon au Bronx, mbona hayakukusumbua? kama una tatzizo zaidi nitafute kwenye pm, huu ni upotezaji wa nafasi ya mjadala muhimu wa taifa!
 
Sina tatizo nawe kwa hiyo usinitegemee kwenye PM. Kama huoni kuwa ulichosema kuhusu elimu ya mwenzako ni tatizo na upotezaji wa muda kwenye mjadala muhimu wa taifa, basi ni vyema nami pia nika-stop........
 
Ebwana Komandoo eeh.....wewe ulikuwa kwenye meli gani?...nauliza maana mimi katikati ya miaka ya themanini nilipiga box ndani ya Linea Messina...unaikumbuka hiyo...ya Wataliano hiyo. Tulizungusha sana anga za Antwerp, Dover, na Athens...nilikuwa na machizi wangu Bwanyenye na Dogodogo..
 
Eeeh bwana heshima yako mkuu, nilikuwa na CMB pale Antwerpen, na nilkuwa nikiishi Zeemanhuis Hotel kila meli yangu ikitia nanga pale, maana pale ndio ilikuwa headquarter,

Nilikuwa na kina Raja Kaka, Takadili Batengas, Mlela, Hussein Macheni na wengine kibao waotot wa town, kule Kariakoo na Sikuku!Ila ilikuwa Longtime, ahsante kwa kunikimbusha mkuu!
 
Ebwana hiyo bab kubwa. Macheni mi namnyaka sana ila kwa sasa sijui yuko wapi. Kuna kipindi nilikuwaga regular sana pale kwake Magomeni....duuh...loong time
 
Oooh Wakuu mnanikumbusha mambo ya zamani sana,Mmemtaja Bro.Takadili nakumbuka upenzi wake wa Safari Trippers,Enzi zile za Georgina original.Wakubwa nimerudi tena kwani nimeangalia picha ya "Nyumba yetu ya kifahari" na nimegundua kitu fulani,baada ya kujiuliza baadhi ya maswali!

1; Kwanza tukubaliane wazi hapa kuwa nyumba hiyo sio Tanzania,kwa maana hiyo nina wasiwasi na wazo la kwamba ni nyumba ya Bwana Manji huko Upanga.Mazingira ya Nje ya nyumba yananipa wasiwasi kuamini kwamba hali ya Anga na mazingira ya mimea inayozunguka nje ni Dar-es-salaam.

2;Angalia Vizuri post #65 ya Bw.CMB kwenye picha ya Nne,Nguzo kubwa kushoto utaona picha ya Bwana Clinton(inaonekana nusu),kutokana na picha hiyo napata wasiwasi kuwa nyumba hii itakuwa ya Mfalme wa Saudia King Fahd Bin Abdullah- Aziz,Mtawala huyo alikuwa na mapenzi makubwa na Us na Clinton kwa ujumla.

3;Sina sababu ya nguvu kuonyesha kuwa nyumba hiyo yaweza kuwa ya Mfalme huyo,lakini siku nyingi za nyuma niliwahi kuona nyumba ya Mfalme huyo!,na kwa mtazamo wangu nyumba ile imefanana mno, kama sio hii.Ktk nguzo hiyo hiyo ya pili picha ya NNE post #65 kuna Maandishi ya kiarabu,ambayo kwa wale wanaojua kiarabu yanasomeka kama Manshallah (Na m/mungu ashukuriwe)Kwa maana hiyo nazidi kuamini kuwa Nyumba hiyo itakuwa ya Muarabu au mtu anayejua kiarabu!!Pia maandishi ya kiarabu yanaonekana Juu ya TV.

4; Kwa sababu nilizotoa hapo Juu,nina kila sababu ya kuamini kuwa picha hii si ya kule Borrowdale Suburb - Harare kwenye nyumba ya Bwana Phillip Chiyangwa kwani jamaa huyo ni Mkatoliki na sioni uwezo wa kuweka Maandishi ya Kiarabu ndani ya nyumba yake!

Huo ndio Msimamo wangu baada ya kuziangalia hizo picha!.Nina wasiwasi kama picha hizo ni Tanzania na wala sio kabisa kuwa ni nyumba ya Bwana Chiyangwa (Zimbabwe).Sasa labda ni nyumba ya Manji (kwa sababu naamini ni muislamu)huko Dubai (Uarabuni),Lakini pia nina wasiwasi kama hapo ni UPANGA!
 
Palacio El Rocio ya Marbella?Costa Del Sol?
 
Kanitumia mtu picha hizo na subject ya Nyumba ya Manji.
 
mna uhakika hili jumba ni la manji au mnataka tu kupakazia ? hati za nyumba zinaonyesha kwamba ni yake ? au mmemuna tu kaingia ndani siku moja na mnaanza kusema ni yake ? hala hala jamani
 
Bubu,

Hilo sio jumba la Manji, walijaribu wengine kabla yako kujenga hoja hiyo. Na kama kichuguu alivyoandika its old news.

Just for Clarification hiyo ni nyumba ya President Musharaff. Thumbs up to Michuzi for this info. Bofya hapo chini.
http://www.youtube.com/watch?v=sfHeHIFaVjw

Admin fanya vitu vyako.
 
Duh! waliotoa hii thread, waanzishe thread nyingine ya kuomba msamaha!!!

Nimesikitishwa na kitendo hicho,,, ni sawa sawa na kipendi kile cha issue za Manji na Majengo ya NSSF... Waandishi wa Habari wa ThisDay na Kulikoni badala ya kulala upande wa NSSF ambao ndio tunamamlaka nao sisi wadanganyika,,, yeye akalala upande wa mfanyabiashara ambaye alikuwa ana-deliver what the mission of any company will do! to maximize profit.

Hapa napo mumeteleza tena... Hivi mnaona shida gani tukawa na thread chache tukazichambua kwa undani kuliko kila dakika thread....

Kama niliwahi kumuelewa Said Yakub, alisema kulenge kuchambua mambo kwa undani kidogo,,, tusiwe wakuhitaji kuongea kila kitu kwa kila wakati na kila mahali...
 
Kweli bwana walioandika kuhusu hii walikosea sana wengine wakadai wameingia mpaka ndani na ipo Upanga!

Tatizo la JF ni kuwa ''sorry seems to be the hardest word''.

Mtu kafunga watu kamba, kisha kabainika kuwa alikosea, the most sensible thing ni kuomba radhi kwa kutokuwa mkweli, ili uweze kuaminika... lakini wengine humu wakikosolewa wanakuwa ni mbogo ghafla!

moja ya tafsiri ya elimu ni kuacha akili huru kujifunza elimu mpya....nilikuwa almost convinced kuwa Mheshimiwa Manji ana jumba kama hili tena bongo...''walioingia katika jumba hili'' wamejitia mtihani...

Ushauri tu mada ya thread hii ibadilishwe na kuwa JUMBA LA MANJI: CORRECTIONS ili watu wajue ni kukosoa yalioandikwa na watu kwani picha hizi zimesambaa sana kutokea hapa nadhani kuwa Manji ana kitu kama hiki....
 
Is this a State House of Pakistani of Private Property of Musharaf?
Wapo viongozi wengi wenye Villas kama hizi -kwa pesa za wizi!
 
Hivi huo ushahidi kuwa hii sio au ni nyumba ya Manji uko wapi, if that is the case, muuweke hapa then muanze kutoa hizi hukumu na kuwataka watu kuomba radhi na misamaha,

kama nyumba ni ya Musharaafu, basi tuwekeeni ushaidi hapa tuuone, na kama Michuzi anao huo ushahidi kuwa nyumba ni ya Musharaaf auweke hapa, na kuna waliosema nyumba ni ya Mzimbabwe,

Sasa kama hakuna ushaidi, watu watulize boli na tuendelee na guessing, guessing inakubalika hapa forum, lakini huwezi kuita udaku bila ya kuwa ushahidi wa ukweli!

sometimes tuwe watu wazima angalau kidogo, kuliko kutafuta umaarufu cheap!
 
admn. naomba ubadilishe hicho kichwa cha thread, bora isomeke kama swali, na sio statement ! which has no proofs !
 
Bubu,

Hilo sio jumba la Manji, walijaribu wengine kabla yako kujenga hoja hiyo. Na kama kichuguu alivyoandika its old news.

Just for Clarification hiyo ni nyumba ya President Musharaff. Thumbs up to Michuzi for this info. Bofya hapo chini.
http://www.youtube.com/watch?v=sfHeHIFaVjw

Admin fanya vitu vyako.

You Tube some of the comments:

It is not his personal property. The house has been using by several president, including President of PPP, PML(N) & other. One should condemn this luxury not because, it is being used by Musharraf. But, because, this luxury has been maintaining on the pakistani tax payer money.

Please, also upload the video, of Prime Minister House, which was being used by Benazir Bhutto and Nawaz Sharif and, now, Shoukat Aziz.

Follow the link:http://www.youtube.com/watch?v=sfHeHIFaVjw
 
OLE, mie binafsi nafikiri jina la Manji litolewe kabisa, maana hata hao walianzisha tetesi ni watu tu wa mumu humu hivyo hata mie naweza nikasema hiyo nyumba ni ya Mengi ( hapo ishakuwa tetesi ) sasa sijui itakuwa fair pia kama utaandika kwenye kichwa cha thread tetesi nyumba na manjji na mengi, i dont know ! please lets try to be fair, futa hilo jina la manji ! i dont know him, but its not good !
 
Back
Top Bottom