IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,340
Nmemtukana kimoyoni huyo jamaaKuna ulazima wa ku qoute uzi wote ?
Nmemtukana kimoyoni huyo jamaaKuna ulazima wa ku qoute uzi wote ?
Unataka mwanamme abebe mimba?namba 10 hata binadamu wengi wa kiume kazi hiyo inawashinda, ila wanyama wanaonesha mfano kwa binadamu hahaha inashangaza
Ehhhe na wewe wale waliokuwa kwa machimukenda hawakuwa mbuni ni bata mzinga hujuwi mbuni Huna ruhusa kuwafuga hata yai lake ni nyara ya Serikali otherwise uwe na kibali cha zoohapa Mwanza maeneo ya kilimahewa na kona yabwiru kuna mwarabu mmoja anaitwa Mchimkenda aliwahi kufuga hawa mbuni ila walikuwa sio wakubwa sana,yaani walikuwa kivutio sana sema sasa yeye alikuwa anawaachia wanajichunga wao,mbuni hawa walikuwa wakipita kwako wakikuta sabuni ya kufulia wanakula na walikuwa wababe kweli,ila kunakingine nilicho gundua ukitaka kumchanganya mbuni muwekee au au vae mfuko katikakati ya shingo yake huwa anachanganyikwa kabisa atakimbia vibaya mno na kuchanganyikiwa kabisa
mkuu umeniacha hoi sana, nimekumbuka enzi hizo wakati nawinda sye sye(vina kama rangi ya bluu flani hivi kidogo), tongwa, shorwe na kadhalika kwa manatiMi siku zote nikifikiri Sye Sye na Tongwa ndio wakubwa
Duuh samahani sitarudia tena!Unataka mwanamme abebe mimba?
we nimgeni mwanza itakuwaEhhhe na wewe wale waliokuwa kwa machimukenda hawakuwa mbuni ni bata mzinga hujuwi mbuni Huna ruhusa kuwafuga hata yai lake ni nyara ya Serikali otherwise uwe na kibali cha zoo
Analiwa sana na chui hivyo hata Duma anamkamataApo kwenye kasi kuliko wanyama wote vipi kuhusu duma?
Lakini nimekumbuka kitu,zamani kidogo (Kama miaka 10 iliyopita) nilisoma kitabu cha Alfa Lela Ulela.
Humo nilisoma ndege mkubwa kuliko wote duniani anaitwa Rock,ukubwa wake ni sawa na mti.
Hii ikoje?