Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 554
- 1,036
Shirika la ndege la Azerbaijan Ndege yao imeanguka ikiwa na watu zaidi ya 70 nchini Kazakhstan.
Ndege ya shirika la ndege ya Azerbaijan namba J2 - 8243, iliyokuwa ikisafiri kutoka Baku kwenda Gorzny ilianguka karibu na mji wa Aktau ulioko nchi ya Kazakhstan wakati inatua kwa dharura.
Ndege ilielekezwa kwa sababu ya ukungu huko Gorzny inabidi itue mara moja karibu na mji wa Aktau, Ndege hiyo iliyokuwa na abiria 67 ilianguka kwenye uwanja wa wazi na kuwaka moto huku watu zaidi ya 42 wakihofiwa kufariki.