Ndani ya mkutano Lucky Vicent Arusha kabla ya Polisi kuvamia (+video fupi)

Kuna MTU amecomment eti, sio muda mrefu tutatoa rambirambi kwa ajili ya Gambo.. haaa
 
Nyie wahuni tu. Mnaita msiba wa taifa afu mnaanza uhuni. Utengano huu kamwe usikubaliwe. Vikundi kama hivi vinaleta hasira na chuki. Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.
 
Utaratibu wa rambirambi hizi ulishawekwa hawa wasanii wa misiba wanatokea wapi?
Hiki ni kituko kipya cha awamu hii ya 'kufungia'kila kitu.,tangu lini kwa utaratibu na desturi na mila ya mwafrika kufungia kwa utaratibu kuhani msiba???
aid1588889-728px-Stop-Running-Away-from-Yourself-Step-5.jpg
 
Kweli ccm hatari nchii yaani wamekasirika kusikia rambirambi zinakwenda kwa wahusika tuu hazipitii kokote ndo wakatuma wajeda kuwakamata ehh !!! basi sawa tushawajua wezi wa rambirambi ni kina nani??
 
Polisi mnaaibisha taaluma yenu. Hata sisi wachache tuliokuwa tumebaki na imani nanyi tunaanza kuwatilia shaka. Hivi mtu anaweza kufanya mkusanyiko haramu shuleni kwake? Hivi vikao vya ndani vinahtaji kibali au ruhusa yenu? Kulikuwa na viashiria gani vya hatari toka kwenye kikao hicho? Au jeshi zima mkoa wa Arusha haliwezi kutofautisha kati ya kikao na mkutano? Kama kikao hicho kulikuwa haramu, kwa nini mmewaogopa waandishi wa habari si nao walikuwemo kwenye mkusanyiko haramu? Au mmeogopa karamu zao na kususwa kama Makonda?
Tunaomba mtupe nafuu ya kuongea sisi watetezi wenu maana mnatukaba kwa vitendo vyenu vinavyowachafua huku mkijua vinawachafua. Akha!!!
 
Gambo atakuwa na tatizo la kiutumishi ndio maana kule korogwe alitukana mwanasheria, akazuia ujenzi wa jengo lililokuwa linajengwa karibu na kituo cha mafuta wakati tunaona panone kila kituo kina jengo, Kikwete aliona upuuzi wake atakuja kumuharibia ndio maana aliamua kumtoa kwenye utawala wake kama mkuu wa wilaya, ameshindwa kujirekebisha hata baada ya kukumbwa tena, poleni sana viongozi wetu.
Huyu Gambo ni mgonjwa tafuteni historia yake
 
watu mpaka rambi rambi zina watoa roho .du kweli ngozi nyeusi ni mafilauni
 
Hatimaye MEYA WA jiji,madiwani,walimu,mmiliki WA SHULE ya lucky Vincent,viongozi WA dini waachiwa huru kwa dhamana.

Kwa masharti kwamba watakapoitajika mda wowote wafike.

Ni baada LA kutaka izo rambirambi zikabidhiwe kituoni hapo ili ufanyike utaratibu mwingine WA kuwafikishia walengwa.

Jambo lililopingwa vikali na MEYA WA jiji LA arusha Kalisti Lazaro,.
Mda huu ndo wanaondoka hapa central,.

[HASHTAG]#asomayenaafahamu[/HASHTAG].

Rambirambi za Arusha mtazitapika tu.
Hawa ni zaidi ya mchwa
 
Back
Top Bottom