Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Sawa. Basi nini ilifanya Uganda wakapunguza kuimport cargo through TZ in the 80s?I am talking after independence!
Sawa. Basi nini ilifanya Uganda wakapunguza kuimport cargo through TZ in the 80s?I am talking after independence!
Nani Kamwambia TAZARA ilijengwa kama Msaada?Hii michoro tunayo hadi ile ya China belt, hivi mbona TAZARA mlishindwa kabisa kuifanya iweze kuleta faida miaka yote hii, mswahili bana, halafu mlijengewa kama msaada lakini bure kabisa.
Basi nyie mnawathamini, wao they do not, sababu haiwezekani wawadangayie bomba la mafuta, alafu walilete huku, wawazugie reli, then wanawaacha hewani.Hamna siku hata moja ambayo Tanzania imewahi kuizidi Uganda kwa urafiki wa karibu na Kenya. Maana urafiki wa Kenya na Uganda ulianza zamani wakati wa mabeberu. Tanzania pengine ni ya pili kwa umuhimu kwetu na hii inachangiwa sana na the fact that Kenya na Tanzania sote tunazungumza lugha ya Kiswahili kama lugha rasmi ya taifa.
UG bado wanataka kuunga reli yao na ya Kenya.Basi nyie mnawathamini, wao they do not, sababu haiwezekani wawadangayie bomba la mafuta, alafu walilete huku, wawazugie reli, then wanawaacha hewani.
Nyie majamaa bhana, hapo kwa Ug mnajidanganya tu
Sawa, but they are not loyal to you guys, mbona it's obviousUG bado wanataka kuunga reli yao na ya Kenya.
Urafiki haimaanishi loyalty. Wewe nini mbaya na wewe? Ama unapinga kuwa 80% ya imports ya Uganda inapitia bandari ya Mombasa? Unapinga kuwa Uganda wananunua bidhaa nyingi kutoka Kenya kushinda nchi yoyote ya Afrika?Sawa, but they are not loyal to you guys, mbona it's obvious
Kenya imezungukwa na nchi nyingi
1. Somalia
2. South Sudan
3. Uganda
4. Tanzania
5. Rwanda
Rwanda nayo inazunguka Kenya?Kati ya nchi hizo Ni Nchi gani ambayo Wakenya wapo na Ujirani + Undugu mkubwa nayo
Hakuna mbaya boss, nataka uone venye Kenya msivyo na uhusiano nzuri na jirani unayedhani ndio wa kweli, wanapitisha kwenu kwa sababu ndio closest na ndio jirani anapakana nae kwa ardhi ambae ana produce variety of products.Urafiki haimaanishi loyalty. Wewe nini mbaya na wewe? Ama unapinga kuwa 80% ya imports ya Uganda inapitia bandari ya Mombasa? Unapinga kuwa Uganda wananunua bidhaa nyingi kutoka Kenya kushinda nchi yoyote ya Afrika?
Kusini rafiki yenu nani?Marafiki tunao wengi, magharibi na kusini pia.![]()
Hii bomba ya mafuta ikianza kazi, Tanzania itakua inatengeneza pesa nyingi toka Uganda kuliko biashara zote mnazofanya na Uganda na Rwanda combinedUrafiki haimaanishi loyalty. Wewe nini mbaya na wewe? Ama unapinga kuwa 80% ya imports ya Uganda inapitia bandari ya Mombasa? Unapinga kuwa Uganda wananunua bidhaa nyingi kutoka Kenya kushinda nchi yoyote ya Afrika?
Kama kawaida yako unapenda kuongea bila facts.Hii bomba ya mafuta ikianza kazi, Tanzania itakua inatengeneza pesa nyingi toka Uganda kuliko biashara zote mnazofanya na Uganda na Rwanda combined![]()
Kodi tu pekee kwa siku tutapaKama kawaida yako unapenda kuongea bila facts.
Hio pipeline maximum capacity yake ni 200k barrels per day. Sasa sijui umetoa hio 600k barrels wapi.Kodi tu pekee kwa siku tutapa
14 x 200000 x365 = $1.022B
Hii $1.022B ni kodi pekee ya kupitisha crude oil kwa mwaka wa kwanza ambapo wataanza kwa kupitisha 200K barrels per day.
Mwaka wa pili kiwango kitakua ni 600K barrels per day, hii itatupati $3.1B per year.
Ushahidi gani huwa unataka wakati makubaliano yalishafanyika ni kiasi gani tutalupwa kwa kila pipa moja?![]()
Tafuta taarifa, hiyo 200K ni starting volume, lakini wanategemea kufikisha 600K ndani ya miaka miwili, kumbuka kwamba kiwango kilichogunduliwa ni 40% ya eneo, kwahiyo kuna uwezekano wa ongezeko la 60%, hawawezi kujenga lenye capacity ndogo wakati wanategemea ongezeko kubwa la crude oil.Hio pipeline maximum capacity yake ni 200k barrels per day. Sasa sijui umetoa hio 600k barrels wapi.
Geza Ulole maximum capacity ya hii pipeline itakuwa 200,000 barrels per day au 600,000 barrels per day?Tafuta taarifa, hiyo 200K ni starting volume, lakini wanategemea kufikisha 600K ndani ya miaka miwili, kumbuka kwamba kiwango kilichogunduliwa ni 40% ya eneo, kwahiyo kuna uwezekano wa ongezeko la 60%, hawawezi kujenga lenye capacity ndogo wakati wanategemea ongezeko kubwa la crude oil.
Rwanda ipo EAC automatically ni nchi jarani kwa kenyaRwanda nayo inazunguka Kenya?