Nchi 10 zenye amani zaidi Duniani

Tanzania inaongoza kwa amani, acheni na hizo propaganda wa weupe.
71d6023709ebc152ac55041d01f4193f.jpg

Tanzania juu. Wazalendo tunasema, Tanzania ndio kisiwa cha amani, majirani zetu Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Congo (DRC) ni mashahidi kwa sababu tunawapa hifadhi za ukimbizi. Kama tunaweza kuwahifadhi warundi, wakongo na wanyarwanda maana yake tuna amani.
amani ya moyo, ni pamoja na furaha, sio mtu anataka kukutumbua anaamua tu!
 
Kwa kod maamae tunalipa siyo mchezo. Mim nanyukwa 36% nalipa kod karibia million 3 za bongo kwa mwez. Ninamchango mkubwa kwenye hii nch. Hata system yao inanikubal
 
Mbona mwaisalama Africa wakati America zote zimetoa kamoja tu? Asia nao kamoja tu! Yaani Australia haimo?


Kuna nchi zaidi ya 50 Africa, Independent Nations, lakini hatumo, hata kamoja. Tuko nyuma kwenye mengi anyways, this's not a surprise.
 
Back
Top Bottom