Nazi (Lindi na Mtwara)

Twin_Kids

JF-Expert Member
Feb 25, 2016
3,461
5,387
Habari wana JF.
Natumaini mu wazima wa afya.
Kama kuna mtu anawafahama watu wanaouza nazi mikoa ya kusini, naomba aniunganishe nao tafadhali. Kuna mtu anahitaji kufanya biashara kwa kutoa nazi huko na kusafirisha.

Asanteni
 
Duh! Nazi elfu 20? Utaniazima Airforce One yenu nipeleke marekani lakini!
Nazi elfu20 sio nyingi kihivyo, zikishafuliwa zinakaa Kwenye Fuso moja tu. Na bei ni ya shambani kabisa, Mbona inawezekana tu kuwa oda ya mara moja hizo
 
Nazi elfu20 sio nyingi kihivyo, zikishafuliwa zinakaa Kwenye Fuso moja tu. Na bei ni ya shambani kabisa, Mbona inawezekana tu kuwa oda ya mara moja hizo
Mziki ni soko. Ebu nipe namba tuwasiliane kwanza. Maana mambo ya kuharibika pia natakiwa nielezwe inakuwakuwaje,
 
Back
Top Bottom