Nay wa Mitengo, laana ya baba ake na mihemko ya kisiasa ina mvuruga kichwa

Nimesikiliza wimbo mpya wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki almaarufu ‘’Nay wa Mitego’’ unaojulikana kwa jina la ‘’Amkeni’’. Wimbo huo kimsingi una baadhi ya maudhui ambayo hayana staha dhidi ya Kiongozi Mkuu wa nchi, pia yamelenga kupandikiza chuki na uchochezi dhidi ya baadhi ya masuala ambayo kiuhalisia Serikali ilishayafanyika kazi na mengine inaendelea kuyafanyia kazi.

Nimegundua kuwa mambo makuu yanayomfanya msanii huyu kuwa na tabia hiyo ya makusudi kwani siyo mara ya kwanza kwa msanii huyo kuandika nyimbo za namna hii.

Kwanza, Nay wa Mitego siyo msanii, bali ni mtu aliyevamia fani hiyo kutoka katika magenge ya uhalifu na uchoraa uliofanya kuwekwa katika vituo vya Polisi mara kwa mara na kuishi na kulala mitaani katika Jiji la Dar es salaam hususan eneo la Feri miaka kadhaa iliyopita. Jambo hili linamfanya kukosa ubunifu katika kazi zake za muziki na kujikita kuimba mambo ya hovyo.

Pili, Ney ni mtu ambaye hana radhi ya baba yake wa kufikia aliyemlea tangu utotoni, kwani alishawahi kumpiga kipigo kibaya baba yake hiyo kisa tu kuingilia masuala ya ndani baina ya mama yake na baba yake jambo ambalo kimsingi mtoto hapaswi kuyaingilia. Hii laana inamsubua Nay wa Mitego mpaka kesho jambo lilomfanya kichwa kutokuwa sawa hajitambui anachowaza katika maisha yake ni shari tu.

Tatu, huyu ni miongoni mwa wasanii wanaotumika na Wanaharakati, Wanasiasa wa upinzani na Baadhi ya Taasisi katika kutimiza matakwa yao ya Kisiasa, Hii ni kutokana na makundi hayo kuazimia wazi wazi kuwatumia wasanii kuharibu kwa makusudi taswira ya Serikali ili waweze kujipatia fedha.

Nay wa Mitego ni limbukeni na mwenye mihemko ya kisiasa, kwani wapo wasanii wenye heshima zao ambao wana itikadi tofauti za kisiasa lakini wamekuwa wakifanya muziki wao kwa staha na kuzingatia maadili, mfano wa kuigwa ni Legendary Prof. Jay (JOSEPH HAULE.)

Mtu wenye akili timamu hawezi kubeza mpango wa Serikali wa kutoa elimu bila malipo kuanzia Shule ya Msingi mpaka Kidato cha Sita, jambo ambalo kimsingi limekuwa msaada na linapongezwa na wazazi na walezi wa wanafunzi kila kona ya Nchi.

Nay wa Mitego akumbuke kuwa watoto wake wanasomeshwa bure kwenye Shule za Serikali hii (majina tunayaweka kapuni), Hata yeye angekuwa mwanafunzi katika kipindi cha sasa angesoma Shule na kupata Elimu ya uhakika bila kumsumbua Mama yake, pia asingeweza kuishi mitaani na kuwa chokaraa kibaka na mwizi, na huenda angeweza kuwa na kazi nyingine nzuri kuliko kutegemea kukoroma na mashairi uchwara kama mwehu.

NAY WA MITEGO NI WA KUUPUZWA
Chawa, Na ndio maana siku hizi tuna Wasomi wajinga sana.
 
IMG_2941.jpg
 
Imagine umeeandika gazeti lote hilo, zimepita zaidi ya saa 5 hakuna aliyekupa like hata mmoja, hivi ni nani wa kupuuzwa?
Kuna mtu amecomment mistari mitatu tu ana like zaidi ya 30!
Acha wivu wa kike dhidi ya Ney!
Naamini Nay wa Mitego kakuacha mbali sana kimaendeleo na kiakili, la sivyo usingeandika hili gazeti lako na kusema alikuwa chokoraaa n.k
 
Nimesikiliza wimbo mpya wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki almaarufu ‘’Nay wa Mitego’’ unaojulikana kwa jina la ‘’Amkeni’’. Wimbo huo kimsingi una baadhi ya maudhui ambayo hayana staha dhidi ya Kiongozi Mkuu wa nchi, pia yamelenga kupandikiza chuki na uchochezi dhidi ya baadhi ya masuala ambayo kiuhalisia Serikali ilishayafanyika kazi na mengine inaendelea kuyafanyia kazi.

Nimegundua kuwa mambo makuu yanayomfanya msanii huyu kuwa na tabia hiyo ya makusudi kwani siyo mara ya kwanza kwa msanii huyo kuandika nyimbo za namna hii.

Kwanza, Nay wa Mitego siyo msanii, bali ni mtu aliyevamia fani hiyo kutoka katika magenge ya uhalifu na uchoraa uliofanya kuwekwa katika vituo vya Polisi mara kwa mara na kuishi na kulala mitaani katika Jiji la Dar es salaam hususan eneo la Feri miaka kadhaa iliyopita. Jambo hili linamfanya kukosa ubunifu katika kazi zake za muziki na kujikita kuimba mambo ya hovyo.

Pili, Ney ni mtu ambaye hana radhi ya baba yake wa kufikia aliyemlea tangu utotoni, kwani alishawahi kumpiga kipigo kibaya baba yake hiyo kisa tu kuingilia masuala ya ndani baina ya mama yake na baba yake jambo ambalo kimsingi mtoto hapaswi kuyaingilia. Hii laana inamsubua Nay wa Mitego mpaka kesho jambo lilomfanya kichwa kutokuwa sawa hajitambui anachowaza katika maisha yake ni shari tu.

Tatu, huyu ni miongoni mwa wasanii wanaotumika na Wanaharakati, Wanasiasa wa upinzani na Baadhi ya Taasisi katika kutimiza matakwa yao ya Kisiasa, Hii ni kutokana na makundi hayo kuazimia wazi wazi kuwatumia wasanii kuharibu kwa makusudi taswira ya Serikali ili waweze kujipatia fedha.

Nay wa Mitego ni limbukeni na mwenye mihemko ya kisiasa, kwani wapo wasanii wenye heshima zao ambao wana itikadi tofauti za kisiasa lakini wamekuwa wakifanya muziki wao kwa staha na kuzingatia maadili, mfano wa kuigwa ni Legendary Prof. Jay (JOSEPH HAULE.)

Mtu wenye akili timamu hawezi kubeza mpango wa Serikali wa kutoa elimu bila malipo kuanzia Shule ya Msingi mpaka Kidato cha Sita, jambo ambalo kimsingi limekuwa msaada na linapongezwa na wazazi na walezi wa wanafunzi kila kona ya Nchi.

Nay wa Mitego akumbuke kuwa watoto wake wanasomeshwa bure kwenye Shule za Serikali hii (majina tunayaweka kapuni), Hata yeye angekuwa mwanafunzi katika kipindi cha sasa angesoma Shule na kupata Elimu ya uhakika bila kumsumbua Mama yake, pia asingeweza kuishi mitaani na kuwa chokaraa kibaka na mwizi, na huenda angeweza kuwa na kazi nyingine nzuri kuliko kutegemea kukoroma na mashairi uchwara kama mwehu.

NAY WA MITEGO NI WA KUUPUZWA
Na nyie si muandae wasanii wenu wa kuwasaifia kweni shida ipo wapi!!?

"Tatu, huyu ni miongoni mwa wasanii wanaotumika na Wanaharakati, Wanasiasa wa upinzani na Baadhi ya Taasisi katika kutimiza matakwa yao ya Kisiasa, Hii ni kutokana na makundi hayo kuazimia wazi wazi kuwatumia wasanii kuharibu kwa makusudi taswira ya Serikali ili waweze kujipatia fedha."
 
Akili za mleta mada hazitofautuani na waimba singeli,Ney wa mitego kawapasha ukweli ambao hampendi kuusikia kiufupi mmewekwa uchi.
Wasanii wa kuwasaifia si wapo,shida nini!!?
Wawaoe content hao wasanii wao wamtukuze mama Samia
 
Na nyie si muandae wasanii wenu wa kuwasaifia kweni shida ipo wapi!!?

"Tatu, huyu ni miongoni mwa wasanii wanaotumika na Wanaharakati, Wanasiasa wa upinzani na Baadhi ya Taasisi katika kutimiza matakwa yao ya Kisiasa, Hii ni kutokana na makundi hayo kuazimia wazi wazi kuwatumia wasanii kuharibu kwa makusudi taswira ya Serikali ili waweze kujipatia fedha."
PUMBAFU! Kwani mtu ukiwa msanii uwezi kuwa mwanasiasa au kuwa mfuasi wa siasa??

Toeni ujinga mnasema anatumika na wanaalakaki au wanasiasa.. Yeye ameamua kutoa mawazo yake kulingana na mambo anavyoona yanakwenda kupitia muziki
 
Wimbo mzuri sana, mtoa mada una matatizo sana. Hao viongozi wako wakitaka kukuibia hawaoni aibu na wala hawana hiyo staha ambayo umemtaka Ney wa mitego kuionyesha mbele zao. Jamaa sio mnafiki kaongea ukweli sioni shida unless uwe hupendi kuambiwa ukweli.
 
Kwa uzi huu ulioandika wewe ndie una laana mbaya sana tena za kiukoo!
Rau wa Mitego amekosa nini ktk huu wimbo hadi kumshambulia kiasi huki we nunda?
Kipi kibaya au upi uongo aliousema? Yote si yana ukweli ? Wewe umekereka nini nini!
Kichwa bila akili ni adhabu kwa shingo na bora ungekaa kimya kuficha upumbavu!
 
Nimesikiliza wimbo mpya wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki almaarufu ‘’Nay wa Mitego’’ unaojulikana kwa jina la ‘’Amkeni’’. Wimbo huo kimsingi una baadhi ya maudhui ambayo hayana staha dhidi ya Kiongozi Mkuu wa nchi, pia yamelenga kupandikiza chuki na uchochezi dhidi ya baadhi ya masuala ambayo kiuhalisia Serikali ilishayafanyika kazi na mengine inaendelea kuyafanyia kazi.

Nimegundua kuwa mambo makuu yanayomfanya msanii huyu kuwa na tabia hiyo ya makusudi kwani siyo mara ya kwanza kwa msanii huyo kuandika nyimbo za namna hii.

Kwanza, Nay wa Mitego siyo msanii, bali ni mtu aliyevamia fani hiyo kutoka katika magenge ya uhalifu na uchoraa uliofanya kuwekwa katika vituo vya Polisi mara kwa mara na kuishi na kulala mitaani katika Jiji la Dar es salaam hususan eneo la Feri miaka kadhaa iliyopita. Jambo hili linamfanya kukosa ubunifu katika kazi zake za muziki na kujikita kuimba mambo ya hovyo.

Pili, Ney ni mtu ambaye hana radhi ya baba yake wa kufikia aliyemlea tangu utotoni, kwani alishawahi kumpiga kipigo kibaya baba yake hiyo kisa tu kuingilia masuala ya ndani baina ya mama yake na baba yake jambo ambalo kimsingi mtoto hapaswi kuyaingilia. Hii laana inamsubua Nay wa Mitego mpaka kesho jambo lilomfanya kichwa kutokuwa sawa hajitambui anachowaza katika maisha yake ni shari tu.

Tatu, huyu ni miongoni mwa wasanii wanaotumika na Wanaharakati, Wanasiasa wa upinzani na Baadhi ya Taasisi katika kutimiza matakwa yao ya Kisiasa, Hii ni kutokana na makundi hayo kuazimia wazi wazi kuwatumia wasanii kuharibu kwa makusudi taswira ya Serikali ili waweze kujipatia fedha.

Nay wa Mitego ni limbukeni na mwenye mihemko ya kisiasa, kwani wapo wasanii wenye heshima zao ambao wana itikadi tofauti za kisiasa lakini wamekuwa wakifanya muziki wao kwa staha na kuzingatia maadili, mfano wa kuigwa ni Legendary Prof. Jay (JOSEPH HAULE.)

Mtu wenye akili timamu hawezi kubeza mpango wa Serikali wa kutoa elimu bila malipo kuanzia Shule ya Msingi mpaka Kidato cha Sita, jambo ambalo kimsingi limekuwa msaada na linapongezwa na wazazi na walezi wa wanafunzi kila kona ya Nchi.

Nay wa Mitego akumbuke kuwa watoto wake wanasomeshwa bure kwenye Shule za Serikali hii (majina tunayaweka kapuni), Hata yeye angekuwa mwanafunzi katika kipindi cha sasa angesoma Shule na kupata Elimu ya uhakika bila kumsumbua Mama yake, pia asingeweza kuishi mitaani na kuwa chokaraa kibaka na mwizi, na huenda angeweza kuwa na kazi nyingine nzuri kuliko kutegemea kukoroma na mashairi uchwara kama mwehu.

NAY WA MITEGO NI WA KUUPUZWA
Wewe ndo wa kupuuzwa
 
Mbona na wewe unaonekana ndo hukulelewa kabisa na wazazi wote wawili.
 
Wewe una mtetea Nani Kati ya:-
1).Mama SAMIA?
2)Uislamu?
3).ccm?
4).Zanzibar?
5).Tumbo lako?
 
Back
Top Bottom