Mimi ni muhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu.
Kwenye maswala ya ajira nimeajiriwa na nafanya kazi za mauzo na masoko kwa miaka 6 sasa. Katika kazi zangu, nimejikuta nikivutiwa sana na maafisa wanunuzi.
Hadi kupelekea kutamani kujifunza zaidi kuhusu manunuzi.
Kwa wataalamu, Ni kwa namna gani naweza kubadili fani?
Kutoka uhasibu hadi kuwa afisa manunuzi?? Kozi zipi ni muhimu kusoma?