Nawezaje kupata mkopo kama muajiriwa mpya ambaye sijakidhi vigezo vya kukopesheka benki?

stevenkatalas

Member
May 24, 2022
54
34
Habari wakuu, nahitaji mkopo wa haraka nina shida na kiasi fulani cha pesa, mimi nimuajiriwa mpya wa serikali ila sijatimiza mwaka hivyo kupelekea kukosa sifa ya kupata mkopo kwenye mabanki na taasisi zilizokuwepo kwenye mfumo wa ess.

Nipo mbele yenu kunielekeza nawezaje kupata mkopo kwa haraka.

Asante kwa ushauri.
 
Habari wakuu,nahitaji mkopo wa haraka nina shida na hela kama mil 1.2 mimi nimuajiriwa mpya wa serikali ila sijatimiza mwaka hvyo kupelekea kukosa sifa ya kupata mkopo kwenye mabanki na taasisi zilizokuwepo kwenye mfumo wa ess,nipo mbele yenu kunielekeza nawezaje kupata mkopo kwa haraka asante kwa ushauri
Nenda kausha Damu
1. Maboto microfinance
2. Watu microfinance
3. EFL microfinance
 
Nenda bank mkuu unachukua tena kiasi cha kutosha tuu kulingana na mshahara wako, ila muda wake hautozidi mwaka mmoja. Ukishatibitishwa kazini ndo unaweza kuchukua zaidi ya mwaka mmoja. Wala usiangaike na kausha damu
 
Umepanga malengo sahihi ya kukopa usije harbu mfumo mzma wa kipato chako
 
Habari wakuu, nahitaji mkopo wa haraka nina shida na kiasi fulani cha pesa, mimi nimuajiriwa mpya wa serikali ila sijatimiza mwaka hivyo kupelekea kukosa sifa ya kupata mkopo kwenye mabanki na taasisi zilizokuwepo kwenye mfumo wa ess.

Nipo mbele yenu kunielekeza nawezaje kupata mkopo kwa haraka.

Asante kwa ushauri.
Nenda benki watakupa maujanja

After all bankers are not risk takers, similarly to, there is no easy money
 
Habari wakuu
Kama tittle inayojieleza naomba kuelekezwa app inayotoa mkopo kiasi cha kawaida tu,ili niomoke siku kuu hii
Asante
 
Back
Top Bottom