Naweza vipi kukabiliana na hali ya kujisikia hatia (guilty conscience)?

Muhimu ni kua umeshajua kua ulikua unakosea, hii ni hatua muhimu sana. Kuanzia hapo ulipo sasa anza kuishi kwa kutokua tena na tabia za hovyo na ishi vizuri na watu, baada ya muda wa kuanzia miezi sita utakua umesha sahau ya nyuma na utaanza kuishi kwa kujiamini na kwa furaha, na hata watu watakua wameanza kukuona tofauti. Baada ya muda zaidi na zaidi utakua mtu bora zaidi
 
Best comment.
Ni muhimu nichukue hatua sasa
 
Back
Top Bottom